Blaszczykowski
JF-Expert Member
- Dec 20, 2022
- 339
- 1,163
Habari wakubwa na wadogo .
Nataka kuuliza hii hali ninayoisikia pindi inapowasha AC ndani ya dk 10 tu mwili wote unaanza kuishiwa nguvu na kuanza kuhisi kutapika pia tumbo linachefuka hii imeanza tokea nianze kutembea na boss pamoja kwa gari yake mpaka ananishangaa why nakuwa na hali kama hiyo mbaya zaidi na yeye awezi kushusha vioo .Hali inanitesa sana sijui shida nini