Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
two wrongs does not make a right...makosa mawili hayafanyi kimoja sahihi...
Mie nshamaliza...
Wikiendi hii Lazio na Napoli wanaumana.
Yoyote atakaefungwa then mi nikishinda basi itakuwa neema kwangu.