Wakiwa wameanza kwa kusuasua,sasa AC Milan si wa kuwasogelea. Wakijivuta kutoka nafasi ya 14 ya msimamo wa Serie A hadi nafasi ya 7,Milan wanaonesha kuimarika siku baada ya siku. Jana,Milan ilishinda kwa mabao 3-1 kwa Reggina katika mchuano wa Coppa Italia.Mabao ya Milan yaliwekwa kimiani na Yepes,Niang na Pazzini. Kazi inaendelea.Wapi Gang?