ABUJA: Rais wa Nigeria aomba kibali cha bunge la Senate kutuma jeshi Nchini Niger

Hawa wanaopindua serikali zao wangekuwa wajanja na wazelendo kwa nchi na bara la Afrika kama wangepindua nchi na kuitawala wao kama wao kuliko kuipindua nchi alafu unaegemea upande Fulani yaan sasa na mtu anayehama kiti cha nyuma kwenye gari na kukaa cha mbele kwenye gari ileile lengo awahi kufika
 
Kuna yule dogo wa bukinabe ana utoto mwingi sn anajikuta che Guevara, yule dogo tayari kayakanyaga elite wanamlia timing watanchukua mzimamzima......

West hawajawahi kucheka na kima aina yake, putting hawezi kuwalinda wanamapinduzi wake coz ye mwenyewe anasakwa...

Lumumba alienda kimasihara tu, che Guevara akaliwa kichwa, sankara alienda na maji, ghadafi na wengineo walivuka mstari mwembamba....

So huyo dogo aacha utoto atapotea
Tuambie Maduro na Assad wapo upande gani
 
Marekani na Ufaransa tayari wana jeshi pale Niger. Marekani ina kambi ya jeshi la Drones 2600 pale NIGER. Ufaransa ina wanajeshi 16,000 pale NIGER. Nigeria inasemekana ikikubaliwa na Seneti ina Mobilize wanajeshi 15,000 kuelekea NIGER huku wakipewa Air Cover na Drones za Marekani. Hao waliopindua kiufupi hawana uwezekano wa kushinda mpambano huo zaidi ya kuachia madaraka.

Kiufupi, Marekani na Ufaransa zinaogopa kuingia moja kwa moja kijeshi kwenye Mgogoro huo kwasababu kwa Afrika tayari Marekani na Ufaransa tayari wa Image mbaya mpaka sasa, wakiingia moja kwa moja ndio watakuwa wamejipaka mavi kabisa licha ya uwezo wa kuwaondoa hao wanamapinduzi kuwa nao.

Kama Tinubu atapata kibali cha Seneti basi tutegemee hao watawala wa kijeshi wa NIGER wakisalimu amri mapema kama Dikteta wa Gambia Yahaya Jameh alivyoachia ngazi. Ukanda wote wa Afrika Magharibi, Wagner ina wapiganaji 5,000 tu ambao wapo nchi za CAR na Mali, hao hawawezi kumlinda huyo jenerali wa Mapinduzi hapo NIGER mbele ya jeshi la ECOWAS. Time will tell.
Wanajeshi elfu 5 mbona ni wengi sana hao, hata wakiwa 100 tu sizani kama kuna mwenye ujasiri wa kuwashambulia maana unajua kabisa utakuwa umetangaza vita na Warusi.
 
Hawa wanaopindua serikali zao wangekuwa wajanja na wazelendo kwa nchi na bara la Afrika kama wangepindua nchi na kuitawala wao kama wao kuliko kuipindua nchi alafu unaegemea upande Fulani yaan sasa na mtu anayehama kiti cha nyuma kwenye gari na kukaa cha mbele kwenye gari ileile lengo awahi kufika

Wanapindua vibaraka wa West
 
Attachments

  • Screenshot_20230805_221833_Twitter.jpg
    Screenshot_20230805_221833_Twitter.jpg
    95.9 KB · Views: 1
Hata Urusi ikileta backing, jamaa anaondoka. Ni vigumu Urusi ijitoe ilete backing kubwa kuzidi ya Ufaransa na Marekani hapo maana wapo muda mrefu.

Ufaransa imegoma kuondoa wanajeshi wake Niger, imesema ina makubaliano na serikali halali ya kupambana na ugaidi, hii serikali ya kijeshi ni haramu hivyo hawawezi ondoka. Marekani ina majeshi West Africa. Nigeria inalinda maslahi yake Niger. Alafu hao Wagner hawapo Niger mpaka watoke Mali ambako General Mody kazungumza nao na hata wakija watakuwa wachache na hawatokuwa na heavy weapons.
Bado utawala wa Rais aliyeondolewa unamuunga mkono, bado ndani ya jeshi kuna elements hazitaki mambo mengi zinaogopa. Balozi wa Niger nchini Ufaransa kagoma kufukuzwa kazi anadai haitambui serikali.
Nina wasiwasi na capacity ya Traore kusimamia ulinzi na kuleta resistance kwa mazingira haya aliyonayo ngoja tumpe muda.
ECOWAS ipo kwa maslah ya nan? Nigeria anataka kuingiza jeshi kupambana na Jeshi halali la Niger kwa maslah ya wananiger au ya nan?
 
Sasa hapo mimi nimeandika nini?? Au hujui unacomment nn?
Akili yako ngumu kuelewa labda sabab unasubir wamarekan ndo waende wasaidia wanaijeria ila ww mwafrika upo bize unazan matatizo ya Naijeria ni yao tu ww hayakuhusu , nazqn ss umeelewa
 
Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametuma barua rasmi kwenye bunge la Senate la Nchi hiyo ili kupewa ruhusa kwa jeshi la Nigeria kuingia nchini Niger na kuwaondoa wanajeshi waliokalia madaraka baada ya kuipindua serikali iliyochaguliwa kidemokrasia nchini humo.

Mawaziri wa Ulinzi wa ECOWAS wametoa makataa ya hadi tarehe 6 mwezi Agosti siku ya jumapili kuwa ndio mwisho wa jeshi hilo kuachia madaraka na kumrudisha rais halali wa nchi hiyo lasivyo jeshi la ECOWAS litaingilia kati kurejesha utulivu.

Itakumbukwa kuwa mwaka 2019 jeshi la ECOWAS liliingilia kijeshi nchini GAMBIA baada ya Dikteta Yahaya Jameh kukataa kukabidhi madaraka kwa mpinzani wake Adama Barrow baada ya kushindwa uchaguzi huo. Shinikizo hilo lilipelekea Dikteta huyo kuikimbia nchi ya Gambia na Adam Barrow kuapishwa kuwa rais.

Tinubu is reportedly seeking support to intervene against the ruling military in Niger, where a coup removed the gov’t. Nigeria’s Tinubu seeks Senate support for ECOWAS intervention in Niger
African tuna makimba hatuna viongozi
 
Rais mtombanvwa
 
ECOWAS ipo kwa maslah ya nan? Nigeria anataka kuingiza jeshi kupambana na Jeshi halali la Niger kwa maslah ya wananiger au ya nan?
Seneti limekataa kupeleka jeshi..haya wachague nchi nyingine ya kupeleka jeshi...tukiwaambia watumie akili wanahisi tunawatusi... Wawaambie Sasa mabwana zao Ufaransa na Marekani waingie kumtoa...
 
Ecowas wakibaki kimya huu mtindo wa kupinduana utaenea ukanda mzima na kuonekana ni kawaida tu.

sasa wanataka kuonyesha kwamba huu mtindo wa mapinduzi hawaukubali na atakayepindua serikali halali ya kidemokrasia lazima ajue atalipia gharama.
Hakuna serikali halali ya kimemokrasia Afrika.
Viongozi wapo madarakani bila kuchaguliwa na wananchi.
Wizi wa kura na kubaka katiba zao
 
Senate wamemgomea, akachukue jeshi la France Sasa alipeleke. Pia Niger wamewapa ufarasa siku 30 wawe wameondoa vikosi vyao vya kijeshi, kulingana namkataba waliowahi kusaini, Nisiku 30 kabla mwenye nyumba hajamfukuza mpangaji ahame.
Seneta wamenifurahisha sana ,wametumia demokrasia kukataa,na west hujidai ni baba na waumini wa demokrasia,Sasa tuone je wataheahimu demokrasia ya seneta ya Nigeria?
 
Back
Top Bottom