figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,487
BUBAKAR Zuberi, Mufti wa Tanzania kupitia Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata), amelazwa kwenye Hospital ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tumbo hapo jana.
Taarifa kutoka ndani ya Bakwata zinaeleza kuwa, Mufti Zuberi alifikishwa Muhimbili jana.
Saidi Mpeta ambaye ni Ofisa Habari wa Bakwata amethibitisha kulazwa kwa Mufti Zuberi na kwamba alifikishwa Muhimbili jana.