Abubakar Asenga

Brother Kaka

Member
Jun 11, 2013
90
54
Jamani naomba anayejumjua huyu kijana anisaidie. Ana cheo gani ndani ya CCM na serikali yake. Maana amekuwa akizungumza mambo mengi kuhusu CCM na baadhi ya viongozi wake hususani katika mitandao ya kijamii.
 
Kuna baadhi ya watu wanajikomba kwa 'chama' ili wasikumbwe na baadhi ya operesheni, kama vile Operesheni Kimbunga
 
Ni muhamiaji haramu na tapeli wa mtaani kwa kivuli cha gamba.
 
Ni mkt wa shirikisho la wanaccm wa vyuo mkoa wa dsm
Ni mjumbe wa baraza kuu la uvccm taifa kupitia mkoa wa morogoro
Ni mtumishi msaidizi ccm

Asenga ni zaidi ya ben saa 8 anaebeba beg la slaa cdm
 
Jamani naomba anayejumjua huyu kijana anisaidie. Ana cheo gani ndani ya CCM na serikali yake. Maana amekuwa akizungumza mambo mengi kuhusu CCM na baadhi ya viongozi wake hususani katika mitandao ya kijamii.
Ni mmiliki wa choo cha kulipia pale Ubungo
 
Back
Top Bottom