M Megawatt B JF-Expert Member Joined Aug 23, 2011 Posts 259 Reaction score 69 Jan 23, 2012 #1 Msaada jamani, wapi nitapata huduma ya channel (hii/hizi). Nimekuwas nazisikia kutoka kwa watu mbalimbali ikiwemo hapa jamvini. Kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kuipata anijuze tafadhali.
Msaada jamani, wapi nitapata huduma ya channel (hii/hizi). Nimekuwas nazisikia kutoka kwa watu mbalimbali ikiwemo hapa jamvini. Kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kuipata anijuze tafadhali.
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Jan 23, 2012 #2 hapo ni mpaka uwe na king'amuzi cha easy tv ndio wanayo hiyo chanel..
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,135 Jan 24, 2012 #3 hta ya startimes ila unabd u2mie ujnja kdg utapata