Absalom Kibanda na Ansbert Ngurumo legacy yenu ni ipi kwa Watanzania?

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Hawa wahariri kwa sasa wanalamba asali haswa chini ya waziri wa habari na utangazaji Nape Nnauye, hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyefahamu jambo hili.

Watu hawa wameuza utu wao kwa vipande vya dinali zitokanazo na kodi, tozo mbalimbali za Watanzania maskini.

Kuna mambo ya kifisadi nchi hii yanaendelea, wanayajua lakini kwa kuwa wanalamba asali, wapo kimya! Imani yao ipo kwa Nape Nnauye ili awape shavu serikalini, ikiwemo na ahadi ya ukurugenzi mawasiliano Ikulu. Hivyo wameamua kufubaza taaluma zao katika kulisaidia taifa.

Napenda kuwakumbusha raha hizi mzipatazo kwa sasa ikiwemo ukwasi mnaodunduliza huko mbeleni mtazitapika tu, kama sio nyie basi kizazi chenu. Nasema tena binocular inachungulia na kurekodi maisha yenu ya kila siku.

Vyombo vyenu vya habari vinatia kinyaa kwa sasa, hakuna criticism nyuzi za kuisaidia serikali, mmejaza mapambio na habari nyepesi nyepesi sana za wizi wa kuku, na matukio ya ngono ya nchi za jirani zetu. Lingine kubwa mnaloliweza ni kupambana na Marehemu hayati Magufuli, kwa ujira wa mafisadi.

Nasikia pia mmezindua kitabu cha mashambulizi kwa hayati Magufuli, mkiishambulia Chato kwa kuwa huko wanaishi wasio Watanzania, je, hilo mtendalo ndio litapoteza legacy ya hayati Magufuli kwa Watanzania?

Hivi tuseme hamuoni mega projects alizoanzisha na zilikwenda kwa kasi ya kutisha,? lakini hivi sasa zinasuasua? Zikikumbwa na ubadhirifu, expenditures cost ziki rise kila uchao?

Nawakumbusha hayati Magufuli aliigusa hii nchi na miradi mikubwa sana ya kimaendeleo karibu kila eneo,mbona hamutaji mradi mkubwa wa maji jijini Arusha?daraja la busisi, flyovers,mastendi ya kisasa,bwawa la umeme,Sgr,viwanja vya ndege vimeboreshwa kila mahala,kwanini chato iwe nongwa?,,acheni upuuzi

Narudia tena, nchi hii mafisadi hutumia waandishi kama tissue papers. Mkae mkijua maisha hubadilika wakati wowote, na umzanie ndiye kumbe sie.

Kazi kwenu wachumia matumbo, kwa sasa endeleeni kunawili, muda ni wa kwenu, ila kumbukeni mnalitumbukiza taifa shimoni kwa kuunyamazia ukweli wa kinachoendelea nchini kwa sasa.

Nawasilisha.
 
Mpaka umeyazungumzia,kwa namna fulani utakuwa unayajua. Yaweke wazi, sio lazima yaongelewe na waandishi
 
Hahaha umepata nakala yako lakini au unabweka tu una ID kibao za kumtetea mtu aliyeua watu? Inakusaidia nn?
 
Kwa kadiri mnavyoleta takataka za huyu muuwaji wenu ndivyo mnavyowapandisha watu hasira watowe nyongo zao.

Mngekuwa na akili mngekaa kimya kama mnanyolewa.

Muacheni mama afanye kazi.
 
Back
Top Bottom