je umetoa taarifa police?
hajapotea
Sasa kama hajapotea unamtafutia nini?
Ilala kubwa je ni wapi -BUNGONI, AMANA, KARUME?
Ukiweza kutaja ilala ya wapi itakua rahisi kumpata
hajapotea
sina uhakika ni ilala ipi mkubwa
Kwa majina matatu ni ABRAHAM HAVER NYANGE
bado anatafutwa
bado anatafutwa
Tunaishi nae wala siweki mawasiliano yake, ila ana namba ya zantel na AirtelUnataka kumng'oa kucha bíla ganzi? Weka jina lako halisi hapa. Amenambia hamjui mtu anaitwa Olympus. Anaishi Ilala karibu na TBL.
Kuna rafiki yangu naye anaitwa Amani R. Nyange amezamia Dar, namtafuta kokote aliko ajitokeze.
Tunaishi nae wala siweki mawasiliano yake, ila ana namba ya zantel na Airtel
jamaa kama namsoma vile, alikuwa ana deal na mambo ya utalii ama?
Usijali endelea na bidii yako ya kutafuta, pole sana kwa kupotezanasina uhakika ni ilala ipi mkubwa
MG Tours......!!!