Abraham Kinana kimya sana komredi kulikoni?

Abraham Kinana kimya sana komredi kulikoni?

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,151
Reaction score
3,116
Bila shaka wewe umepitia mafunzo ya kijeshi na umekula viapo vingi sana vya kizarendo, kulinda Taifa, kwa ajili ya masilai maana ya nchi yetu Tanzania (Tanganyika).

Toka hadharani basi, uunganishe nguvu na wazalendo wenzio. Kama Mzee Warioba, Butiku, poleple, Tundulisu, Gwajima nk

Ukimya wako unasema wazi hauungi mkono genge la wahuni wachache .

Neno lako moja tu litakuwa njiti ya kiberiti ndani ya msitu kwa ajili ya kuleta ugombozi kutoka kwa kikundi cha wahuni HAWA wachache.

Itisha press, kwa ajili ya masilai ya Taifa na chama chako cha CCM,kimevamiwa na masokombingo.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji
 
Mzee mabendera huyo!!kwenye Ile mission pendwa iliyoshindikana !kama ilivyoripotiwa na Britanicca nadhani imemnyamazisha sana hana hamu!ndio maana na makamba junior kakatwa !sijui Nape Hali ipoje Jimbo la mtama!
 
Mission gani hiyo
 
umri na kifo Kwa binadamu huazia miguuni ,ukiona unaanza kuvuta miguu ! kama ulikuwa na ndoa ukatelekeza azaga kurudi kitubio
 
Watu washajiwekeza vya kutosha
Acha ale maisha tu sahv

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom