Kuna mkaka nlimkubalia kuolewa nae nlipokuwa desperate na tulipanga ndoa iwe June ata kama wazazi upande wangu hawataki....
Aliona kama bahati na kunitambulisha kwao faster..ila baada ya kuheal na desperation( bila kumtumia yeye) naona uamuzi wa kumkubali haukua sahihi kwangu
He's a 10guy but to me he is a no sitakuwa na amani kabisa.. muda simpi red flags kama zote ila Bado haoni ...
Tatizo siwezi kumwambia sitaki ndoa nae maana expectations zote kaweka Kwangu akiamini Mimi ni wake
Njia sahihi ya kukataa ndoa pamoja na kumkataa yeye ni ipi tofauti na kumwambia sitaki Wala simtaki?
Kila siku nasisitiza hapa, katika mapenzi usiwe nice guy. By nature women are problematic and chaotic, they can't survive without dramas. Ona sasa kijana mwema kajifanya yeye ndo therapist, dada watu baada ya hasira kumuisha kakumbuka hekaheka na drama za badboy wake aliechana nae