Abood yapandisha bei ya nauli

Abood yapandisha bei ya nauli

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
405
Reaction score
686
Wakuu twende katika hoja. Latra walisema asitokee mtu akapandisha bei ya nauli mpaka mamlaka ikae.
Baadhi ya vyombo vya usafiri vimepandisha nauli. Kama vile bodaboda, bajaji na mabasi.

Kabla ya kupanda kwa bei ya mafuta nchini Aprili 1, 2026, tayari Abood Bus imepandisha nauli.
Mfano mdogo, zamani nauli kutoka Tanga kwenda Dar ilikuwa Shilingi 25,000 kwa mabasi ya VIP. Sasa hivi ni 28,000. Ongezeko ni Shilingi 3,000. Hii imekaaje wadau?!
Screenshot_20260403_200844_Google.jpg
 
Siyo Abood tu mabasi mengi yameongeza nauli, mfano Arusha Kwenda DSM kwa basi la VIP ilikuwa 50K, sasa hivi ni 55K, hiyo ni kwa wote, nafikiri LATRA wako vizuri zaidi kwenye kutoa matamko kuliko utekelezaji
 
Nikifikiria mafuta Zanzibar na Bongo Yana difference ya karibia 900-1100 nachoka mwili na roho....
 
Ngoja tuone Sasa kama dereva wa abood atafungiwa lessen.Hii nchi ni ngumu Sheria na kanuni kufatwa kutokana na muundo wa utawala jinsi ulivyo huku chini viongozi na watekeleza sera wanaweza wakawa na malengo mazuri tu lakini Cha ajabu mtu akakujibu naongea na mwenye ubwa.
 
Back
Top Bottom