Abood Bus Inahujumiwa?

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
31,692
32,997
Moja kwa moja kwenye hoja, nimesafiri na T 327 DLS kwasababu series ya mabasi hayo na yale ya series ya DK yana mifumo ya kuchaji simu kwenye kila kiti, lakini kwenye bus lenye namba tajwa nimeona tofauti, nilipofuatilia hata baada ya kuhitaji huduma kutoka viti jirani hapakuwa na connection, kijana mmoja alinionesha chini ya viti kuwa kumenyofolewa viunganishi vya umeme.

Ndipo nikajiuliza nini motive behind all this?

20191122_140141.jpg
20191122_140123.jpg
 
!
!
sehemu ya biashara. Kupambana na hilo kuna magari hicho cha kuchajia kipo juu kwa hiyo ni ngumu kuleta hujuma. Wabadilike
 
Hatari sana ,mwezi iliiopita nilisafir to Moro,gari ni high class lakin halina port ya chaji,pia kuna free WiFi but haifanyikazi,bora ningepanda dar lux
 
Kwa jinsi ulivyoandika ni wewe ndo unahujumu hilo basi... Kwa nn hukuukiza mhudumu ndani humo
 
Tatizo wanaopanda bas ni watu masikin sana aiseee


Nadhani hata wale mateja wanaopumzika mle kwenye mabasi yakiwa stand ni waharibifu wanatafuta chip items za kuuza
 
Back
Top Bottom