Aisee, hii flip flop ni 180° au 360°..?
Sipati picha the Donald angeshindwa uchaguzi. Naona ange flew in watu kutoka states nyingine kwenda DC kuandamana white house kwa kigezo cha the system is rigged.
Umeona eeh! He is talking with both sides of his mouth.
Huo mfumo umeonekana mbaya baada ya Hillary kushindwa sio? Kwa nini wasingeukataa kabla ya uchaguzi?Umeona eeh! He is talking with both sides of his mouth. Hii ni 180 Kui jumping from one end to another bila hata ya kupepesa.
Wamarekani na wazungu wengi wa siku hizi huwa hawana akili. Wanadhani kwamba Trump hapendwi, wakitaka kujua waaminicho sicho, basi waanhalie tofauti ya popular votes za President elect Trump Vs zile alizopata Hillary Clinton.
Kingine, wanapaswa kutambua kuwa hata kama popular votes ndiyo zingekuwa zinaamua mshindi, basi Trump and the team wangekuja na approach na lugha ya Ku win hizo kura. Maoni na ushabiki unaoendelea hivi Sasa na kukuzwa isivyopaswa ni matokeo ya wengi wanaojifanya wafuatiliaji na wachambuzi kuwa uelewa finyu wa mambo haya.
mkuu watu wengi hawajui hata kwann kuna electrol votes........... states 50 huku nyingi zikiwa na watu wachache isipokua 5 tu zina watu wengi ukitumia popular votes utagawa nchi........
ni sawa na nchi za tz,ke,ug,burnd,rwanda,south sudan, eritrea na djibout ziungane et useme uchaguzi utatumia popular votes si jitu litapiga kampen ug, keny na tz afu litashinda uchaguzi........
watanzania wengi km kina BAK tunashabikia vitu bila kujiuliza kwann vipo

Heheh!, acha tu.
By the way have you read about the new white house chief strategist? He's soome'in.
The boss is already getting a backlash for his pick.
Speaking of starting off on the wrong foot.
Hilo ndiyo tatizo kubwa sana. Waliouweka huo mfumo waliona mbali sana, si rahisi mfumo kuondolewa eti sababu mashoga na undocumented immigrants wanaandamana.mkuu watu wengi hawajui hata kwann kuna electrol votes........... states 50 huku nyingi zikiwa na watu wachache isipokua 5 tu zina watu wengi ukitumia popular votes utagawa nchi........
ni sawa na nchi za tz,ke,ug,burnd,rwanda,south sudan, eritrea na djibout ziungane et useme uchaguzi utatumia popular votes si jitu litapiga kampen ug, keny na tz afu litashinda uchaguzi........
watanzania wengi km kina BAK tunashabikia vitu bila kujiuliza kwann vipo
Hehehehe who needs Hollywood when you've DT in WH? lol! The next four years will be very interesting to watch this unfolding drama.
Jared Kushner at the center of Trump transition 'infighting,' sources say - CNNPolitics.com
Apology? Trump anaonekana ni very thin skin next 4 yrs will be very interestingUpite mtaa huu kui uje kuona kuzomea hairuhusiwi.
Trump demands apology from Hamilton cast after Mike Pence booed
Very interesting Mkuu. CNN should create special program and the title should be WH Drama.
Upite mtaa huu kui uje kuona kuzomea hairuhusiwi.
Trump demands apology from Hamilton cast after Mike Pence booed
Jambo la kushangaza mfumo wameutumia miaka yote leo tu ndiyo eti umeonekana mbovu kisa trump kashinda.
Kama waliona mbovu toka mwanzo wangeubadili kabla ya uchaguzi ila kwakuwa walidhani mwana mama atashinda wakaona safi tu mambo yameenda ndivyo sivyo wanaanza leta zogo
Hilo ndiyo tatizo kubwa sana. Waliouweka huo mfumo waliona mbali sana, si rahisi mfumo kuondolewa eti sababu mashoga na undocumented immigrants wanaandamana.
Ushabiki huwa unafinya uelewa wa wengi pia kuwaposha kabisa.

Kweli mkuu. Electoral votes imewekwa kuyachunga maslahi ya yale majimbo madogo kama Vermont na Wyoming na kuyapa sauti kutokana na ukubwa wa majimbo makubwa kama Texas na California.mkuu watu wengi hawajui hata kwann kuna electrol votes........... states 50 huku nyingi zikiwa na watu wachache isipokua 5 tu zina watu wengi ukitumia popular votes utagawa nchi........
ni sawa na nchi za tz,ke,ug,burnd,rwanda,south sudan, eritrea na djibout ziungane et useme uchaguzi utatumia popular votes si jitu litapiga kampen ug, keny na tz afu litashinda uchaguzi........
Kazi kweli, angekuwa yeye kazomewa naona Broadway shows zingefutiliwa mbali kwa order ya Rais..
Umeona tweets zake, halafu in the wee hours alivyowakomalia the Times walivyomkosoa.
Yaani, he has to get even, he can't let some' n go.