ABM Tanzania Limited ni Real Estate Company na ipo Registered Brela Link http://brela-tz.org/?section=companies&page=search&type=compname&value=&p=1638
Ofisi zao zipo Sinza white inn na wanamiradi kama hiyo ya upimaji Pongwe Tanga,Maeneo mbalimbali kigamboni ikiwemo Tundwi, Mwasonga na Kimbiji pamoja na Mlandizi. Hivyo ni kampuni yenye uzoefu katika industry hiyo.