Abiria m-baguzi

Weusi tumeonekana Wajinga Tu.. Kwahiyo Kupelekwa First Class Kumeondoa Racism??

Tunadanganywa kwa Kupewa Vioo vya Kujiangalia Wakati wanachukua Gold. Mimi Ningemuwasha Vibao na Ngumi za Kutosha Huyo Bibi Mengine Tutajuana Baadae
 
kupigana au kumpiga ndiyo solution ???!!
Think
 
ashukuru ilikua ni ndege ambayo huwez kumshusha mtu ingekua bus nahis abiria wote wangesema ashushwee
 
Nimeipenda hii...ila ana bahati sana huyo bibi mzungu maana ningekuwa mimi basi angekoma ,ningemsogelea na kushika shika ili azimie kabisa.
 
1. kalikuwa kananipa pressure ila kaneisha vizuri san ahahaha....
2. hasira hasara haina haya ya kumtemea kohozi au kumpiga ushtakiwe na polisi mliosema hivo wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…