Hiyo 06xx 777 444 ni nmabari ya simu ya mmiliki wa basi au Police?
nadhani ni namba ya ofsini hiyo mkuumana iipo ndani ya basi juu kabisa sa sijiui wantakiwa kupiga wakishapata ajali au gari ikiwa mwendo kasi,au wanapoona gari inajaza kupitilizaHiyo 06xx 777 444 ni nmabari ya simu ya mmiliki wa basi au Police?
<br />Hapana haikuzidisha abiria... kwani hao waliozidi ni Wamasai... Hata likipata ajali utasikia Walikuwepo Abiria 55 na WAMASAI 7...
Kwani wamasai sio abiria?Hapana haikuzidisha abiria... kwani hao waliozidi ni Wamasai... Hata likipata ajali utasikia Walikuwepo Abiria 55 na WAMASAI 7...
Hapana haikuzidisha abiria... kwani hao waliozidi ni Wamasai... Hata likipata ajali utasikia Walikuwepo Abiria 55 na WAMASAI 7...
<br /><span style="font-family: franklin gothic medium"><font size="3">Twaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu tu!<br />
OTIS.</font></span>