Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,603
- 22,717

Ajali imetokea Mbeya kijiji cha Lilongo asubuhi hii majira ya 12.48.
Abiria wapatao 65 wamenusurika kifo baada ya uhodari wa dereva wa Bus la Nganga Express linalofanya safari yake Mbeya - Dar, baada ya kulikwepa Lori uso kwa uso na kulitosa kwenye mtaro ili kuokoa roho za abiria na wafanyakazi wa Basi hilo.
Majeruhi watano wamekimbizwa hospitali ya rufaa Mbeya.