mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 1,413
- 5,150
Ukimuangalia huyu jamaa kwa jicho la kishabiki , ukiwa shabiki wa Simba sc utasema jamaa ni bonge la beki ila ukiwa shabiki wa Yanga sc utasema jamaa ni mbovu .Lakini ukimuangalia kwa jicho la kiuwanamichizo na kijasusi, utagundua huyu ni tapeli wa soka kama ilivyo wahi kutokea kwa wachezaji wengine matapeli Siku za nyuma.
Overall kama mchezaji si mchezaji mbaya Wala mzuri sana ,ni mwenye uwezo wa kati kwa level ya soka la Tanzania, lakini kwa wafuatiliaji wa michezo mingi ya Simba sc watakubaliana namimi kuwa huyu sio beki mzuri kwenye kuzuia, especially wakikutana na timu ambazo washambuliaji wake wanakuja moja kwa moja kupitia kati na sio pembeni
.Matokeo yake mechi zote ambazo Simba sc wamekutana na timu zinazoshambulia katikati kuliko pembeni ,huyu bwana amekuwa akifanya MAKOSA mengi ya wazi na maji yakizidi kimo anaamua kujitoa ili asiwe sehemu ya lawama na apate nafasi yakupangwa mechi nafuu zijazo kwa kigezo kwamba huenda angekuwemo angesaidia, ila huu ni ujanja wake wamakusudi kuficha madhaifu makubwa sana aliyonayo.
Mechi dhidi ya Yanga sc dube, na mzize walikuwa wanapita katikati pressure ikamshinda mara avute jezi ,mara abanwe misuli baadae akajitoa.
Gemu ya waarabu Constantine, pressure ikawa kubwa Tena , strikers wanapita kati jamaa akajivunja Tena.
Gemu ya Azam , nasoro saadun na fei na gibril sirra walikuwa wanakwenda katikati jamaa akachomesha chuma yakwanza ,kabla mambo hayajazidi unga akajivunja Tena.
Gemu ya FC Berkane jana jamaa aliona kabisa , hapa anapoteza namba jumla jumla kwenye kikosi cha kwanza akaamua ajivunje na kama angeendelea kucheza ,Simba wangekufa hata chuma 4.jamaa ni mzuri kucheza mpira na build up ila nimbovu kwenye marking na hajui kuchagua muda sahihi wakwenda kubattle hana timing ni tapeli