Wakuu,
Katika nchi za Afrika imekuwa rahisi kwa makampuni ya nje kuingia na kufanya biashara bila matatizo kwa sababu wanatumia local partners.
Hii hoja ipo na inatumika.
Kwa hio nadhani hawa watu plus local Tanzanians ndio wana-exploit.
Je tunaweza kuangalia masharti ya kuwekeza kwa kampuni za kigeni kupitia kituo cha uwekezaji?
Jmushi1,
tanzania Kuwa Balozi Ni Shukurani Ya Ufisadi Ulioufacilitate.
Ukiangalia Kwa Makini Utagundua Ninalokuambia. Mfano Mzuri Barozi Wa Tanzania Uingereza Ingawa Ana Utu Lakini Ndiye Aliyeandika Mikataba Mingi Sana Mibovo Ya Madini, Na Ndio Maana Hata Karamangi Alikimbilia Uingereza Kwenda Kumalizia Ule Mkataba Uliopigiwa Kerere
Yule Mama Na Firm Yake Ya Sheria Ndio Alikuwa Mastermind Wa Mikataba Yote Tunayolilia Lia Leo, Alichokifanya Ninadhani Takuwa Anatubu Sasa Hivi, Maana Madhara Yameshaanza Kuonekana, Na Ndio Maan Hata Anajivisha Ngozi Ya Kondoo,na Zawadi Ya Kufacilitate Kimisheni Nono Za Mikata Ya Madini Mama Majar Alipewa Ubalozi Wa Uingereza.
Sasa Mkuu hapa kuna tatizo!
Kwani mabalozi ni nani anawateuwa?
Sasa kama wewe ni muungwana kweli...Kwanini ulifacilitate mbinu zake zote ikiwa ni pamoja na Kufunguwa matawi ya ccm huko UK?
Na kama kweli unajuwa yote hayo...Then kuna hatuwa gani umechukuwa?
Maana nadhani huoni kuwa watanzania wamechoshwa na back and forth za maneno ya kutupiana lawama.
Ukweli wote uko nje nje lakini hakuna anayefanya kitu!
Taifa ni kama halina Rais!
Sasa huoni kuna watu wanapanga sasa tuwe na rais mwingine?
Unaruhusu vipi nchi kuongozwa na Rais wa awamu ya tatu na wewe kuwa waziri wa mambo ya nje?
Do something bana acha maneno yanachosha sasa!
Kwanza now we know everything na sasa tunataka steps na si story za DROO!
We WANT FREEDOM!
AMA KWASABABU WEWE KILA MTU ANAKUITA BWANA MKUBWA MASALUTI KIBWENA BASI UHURU WAKO NA UTUKUFU WAKO UNAKUTOSHA?
Wewe si ulikuwa unakuja mtaani Sinza na tunakufagilia kila mahali na VX lako?
Sasa mbona umebadilika hivyo?
Wapi zile hotuba za kila mwezi?
We huji kuna watu tuko radhi kujitolea muhanga?
Ni kivipi huna uchungu na wananchi kama ilivyokuwa kabla ulipokuwa ukijichanganya tu na walalahoi?
NB:Unaposema alipewa huo Ubalozi..Nani alimpa?
Kuongoza Nchi sio kama kuongoza Biashara ya Baa/Club.....Unatakiwa uwe makini katika kila hatua unayoichukua, Kila serikali Duniani ina tatizo la kuzungukwa na malyobist ambao huwa wako kalibu na serikali kwa manufaa yao na hawajali taifa, Hivyo Kikwete Kazi aliyo nayo sio ndogo ya Kuhakikisha anawasambarataisha malobysit , ambao wako kwenye nafasi nyeti za serikali na za kiuchumi na Biashara, hivyo maoni yangu na malizia kwa kuusema , KIKWETE NI RAIS MZURI NA BORA SEMA TIMU YAKE NDIO ......IMEOZA, WAFUNGAJI BUTU, HIVYO HTUWEZI KUONA MAGOLI, TUTAISHIA KWENYE DROO TU KAMA INAYOENDELEA SASA
Leokweli,
Kila wakati ninapokutana na maneno kama hayo niliyoyaweka kwenye bold, nabaki nikijiuliza, Je Tanzania tumelogwa? Kwa nini tunakuwa na maelezo mepesi na ya kijinga kama haya. Kitu gani kinakutuma kugombea urais wa nchi kama unajua huna nia, uwezo wala ujasiri wa kupambana na hilo unaloliita uozo. Kama unatambua kuwa huna ubavu wa kujikwamua kutoka huo uozo, utaikwamua vipi nchi na watu wake.
Nimejaribu kutafuta jambo angalau moja la muhimu lililowanufaisha wananchi alilolifanya Kikwete kwa kipindi chake chote cha utumishi serikalini, sikuliona. Nimetafuta sifa yoyote ya kipekee iliyofanya wananchi wampe urais, sikuipata. Baada ya hapa nimebaki nikijiuliza kwa nini alipewa kura na asilimia 80% ya wananchi, jibu ambalo sijalipata. Kwa nini basi tunashangaa kuona mambo yanakwenda hivi.
There is a point in time that the patience in us can be stretched to such a limit that there is no holding back. This should be a normal reaction for a homo sapiens, but in Kikwete, even this is lacking. Could it be we, the electorate, that is to blame?
leokweli,
Kila Wakati Ninapokutana Na Maneno Kama Hayo Niliyoyaweka Kwenye Bold, Nabaki Nikijiuliza, Je Tanzania Tumelogwa? Kwa Nini Tunakuwa Na Maelezo Mepesi Na Ya Kijinga Kama Haya. Kitu Gani Kinakutuma Kugombea Urais Wa Nchi Kama Unajua Huna Nia, Uwezo Wala Ujasiri Wa Kupambana Na Hilo Unaloliita Uozo. Kama Unatambua Kuwa Huna Ubavu Wa Kujikwamua Kutoka Huo Uozo, Utaikwamua Vipi Nchi Na Watu Wake.
Nimejaribu Kutafuta Jambo Angalau Moja La Muhimu Lililowanufaisha Wananchi Alilolifanya Kikwete Kwa Kipindi Chake Chote Cha Utumishi Serikalini, Sikuliona. Nimetafuta Sifa Yoyote Ya Kipekee Iliyofanya Wananchi Wampe Urais, Sikuipata. Baada Ya Hapa Nimebaki Nikijiuliza Kwa Nini Alipewa Kura Na Asilimia 80% Ya Wananchi, Jibu Ambalo Sijalipata. Kwa Nini Basi Tunashangaa Kuona Mambo Yanakwenda Hivi.
There Is A Point In Time That The Patience In Us Can Be Stretched To Such A Limit That There Is No Holding Back. This Should Be A Normal Reaction For A Homo Sapiens, But In Kikwete, Even This Is Lacking. Could It Be We, The Electorate, That Is To Blame?
Mzee Kumbuka Unapo Ongelea Serikali Unaongela
Bunge
Mahakama/sheria
Raisi
Rais Ni Mwenyekiti Wa Hivyo Vitatu Lakini Utekelezwaji Wa Matwaka Ya Rais Unategemeana Na Ubora Wa Hizo Sehemu Tatu Nilizoziongelea.
Rais Ikaingia Hana Uwezo Wa Kisheria Wa Kuwastaafisha Majaji Wote Hivyo Regacy Ya Mahakama Mpaka Sasa Bado Ni Watu Ambao Wakuwa Aprraised Na Mkapa,kwa Mtindo Huo They Are Well Connected To Him And They Protect Him.
Bunge, Bunge Lilkuwa Na Na Mafisadi Hawahesabiki,ila Kwasasa Ndio Tunaanza Kuona Bunge Linavyompa Kikwete Nguvu Kwa Hiyo Immuny Yake Inaongezeka Na Kupanda Juu Kwasababu Ana Back Up. Kama Bunge Haliko Na Rais Linaweza Kumngoa Any Time Hivyo Ni Razima Awe Makini Anavyodili Na Mafisadi Wa Bunge
Rais, Ccm Cheo Cha Urais Imekuwa Ni Ajenda Ya Chama Na Si Ajenda Ya Wananchi, Kwa Hiyo Ccm Inamguvu Kuliko Rais Wa Tanzania Hivyo Maamuzi Ya Kikwete Yalikuwa Limited
Alichokifanya Kikwete Alianza Kuwasmbaratisha Watu Wote Tishio Kwenye Hizo Sehemu Tatu Na Anashinda Taratibu, Pili Ninadhani Kunyamaza Kwake Ni Kuvuta Public Support Kwa Action Yoyote Atakayo Wachukulia Mafisadi.
Hata Wewe Ungekuwa Rais Leo, Kama Una Busara Ungechukua Approach Ya Kikwete, Kumbuka Tanzania Sio Nchi Ya Kijeshi.
He Is A Brave Man....moyi Na Ubaya Wake Lakini Alikuwa Brave That Why Damu Haijawhi Kumwagika Kipindi Chake.....mafisadi Wanahela Nyingi Kiasi Kwamba Tusipowahandle Kwa Uangalifu Wanaweza Kuwa Molisha
Mnyoofu watu kama nyie ndio mlitakiwa muishauri serikali yetu!
Sasa kama washauri ni kina KOMBA NA MAKAMBA...Je Tutafika?
... tatizo serikali zetu za kiafrika wanataka watu wakuwanyenyekea, kuwapukutia mikono na kuwa ambia yes-yes!
Hawataki kupewa HONEST FEEDBACK,
...viongozi wa Tanzania (excluding Nyerere - R.I P) ... they never LISTEN!
Jamani, wakatimingine kama hamna points mnyamaze. kwania mtu kuwa board member ni big issue. Hakuna chochote cha maana mlichoandika hapo zaidi ya majungu yasiokuwa na sources on information
Mkuu Kubwajinga,ndo maana jana nilisema Kinana anatingisha kiberiti,na sasa wameshawekana sawa,maybe wameshagawana vitu vingine,ama haya mambo ya gesi kule mtwara.Halafu watu wanasema eti kuna msafi ccm?Gimme a break!Leokweli,
Sasa nimemuona Kinana pamoja na MP. wa Masasi Bw. Marope. Kama na Kinana naye yumo kwenye hizi biashara za kuuza nchi, basi tumekwisha.
Hivi ni kwa nini hizi kampuni zinazosema zina-invest TZ zote zinaweka watu wenye nguvu sana ndani ya CCM kuwa ni maDirector wao? Wana nia gani wanapofanya hivyo? Hivi huko ndio kuajiri wazawa au ni kununua influence?
Hivi inawezekana kweli kuna mkuu wa jeshi yule aliyesemekana ana trillions SA kutokana na pesa za vita vya commoro na deals nyingine?Halafu ndo huko huko Norway alipopazungumzia Zitto?Kaazi kweli kweli,kama ARTUMAS walienda kuwekeza Comoro kwa ombi la Rais wa Tanzania JK, hapa kuna walakini. Yaani safari zote hizi nje za kutafuta wawekezaji, kumbe anawatafutia Wacomoro!!