Abdul Nondo kurudi chuoni Januari 4

Ushujaa wake ni nini? Kupotea?
Uthubutu wake kusema ukweli japo alijua angehatarisha usalama wake,aliwaanika vyombo vya usalama kwa kumshawishi ili aachiwe wamuitie press aseme uongo kuwa alitumwa na Mbowe,akakataa kumsingizia mtu uongo!
Polisi wakaandika wakaongeza maelezo ya uongo kwenye maelezo yake huku wakisahau kuwa ashasaini kuwa maelezo ni ya kurasa 2,wao wakaongeza 2 za kwao!Wakajashtukiwa mahakamani!

Huo ndio udhalimu wa jeshi la polisi likitumika kinyume na msingi wa uanzishwaji wake!
 
Huyu ni Shujaa Wa nini

Anatakiwa alambe “DISCONTINUATION” huyu dogo liwe fundisho
 
Ajiandae Kisaikolojia ili ' Sapu ' za mfululizo na za mara kwa mara atakazokutana nazo asiwe anazishangaa sana.
 
Ni jambo Jema sana kwa kijana huyu kurudi chuo kumalizia masomo yake
Lakini hofu yangu anaweza kukuta hiyo shahada kwake ni kizingimkuti kuipata
Mungu ampiganie amalize salama na kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samwel Sitta aliwahi kufukuzwa chuo mwaka 1966 baada ya kupinga mpango wa Nyerere wa kuwapeleka JKT wasomi , lakini mwisho wa siku akaja kuwa spika wa Bunge la Tanzania
Kwani huyu unavyomuona ana uelewa wa siasa aina ya Sitta? Huyu si aliona nyufa za jengo! Hiyo nayo ni siasa?
Kuna baadhi ya vijana mutawaponza. Ukianza kumtangaza kama mwenye uelewa, naye atajiona ana uelewa lakini mwisho wa yote tunataka awe nai academic material siyo shujaa wa kuona nyufa.
 
Hata hao akina Sitta huko zamani walionekana wapuuzi tu , lakini baadaye tukaja kuwaona mashujaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…