Abdul Kambaya ajiondoa CHADEMA

Ngulije?? Amefanya yepi na kwamiaka mingapi na kwaufanisi upi mpaka kuwa nguli? Watu wanaendekezaga ujinga!!
 
Elimu yake ni darasa la saba, alipewa computer akashindwa kuitumia, bora arudi kwenye kazi yake ya udalali wa mahindi soko la Manzese.
 
.CCM ndio mkombozi wa kweli wa watanzania, hatukatai kina mapungufu yake lakini yanatatulika.

Mapungufu yenu huko ccm yatapungua siku Kikwete atakapoacha siasa za chama chenu!! As long as bado anakiongoza hata kama kwa REMOTE fitina, unafiki na mizengwe chamani havitakwisha.
 
Sijawahi kusikia mrepublican akihamia democrat au mdemocrat akihamia republican huko USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ. Na pia πŸ‡¬πŸ‡§ UK sijasikia na huko India ndio kabisaa !! Sijui ni kwanini !
 
Aliyekuwa Mratibu wa Chadema Kanda ya Mwambao wa Bahari ya Hindi Tanga hadi Mtwara mh Kambaya amesema japo ameondoka Chadema bado ana Imani kubwa na Chama hicho

Kambaya amesema CUF wamempigia simu arudi lakini Yeye anaiamini sana Chadema na panapo Uzima atakipigia kura Uchaguzi Ujao

Jumaa kareem!
 
##
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…