Abdukiba ft Alikiba - Single

Abdukiba ft Alikiba - Single

ntemintale

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
956
Reaction score
1,878
Abdukiba katoa wimbo mpya akimshirikisha kaka yake Alikiba. Wimbo huo unaenda kwa jina la Single.
Tazama
 
Hakika mkuu, tatizo watu wanafananisha Diamond na vitu vya kipuuzi kama hiki.
Ukiwa unasikiliza wimbo huku akili yako imejaa mawazo ya kulinganisha hauwezi kuelewa chochote kwa sababu kila msanii ana radha tofauti na mwenzake. Daima nyimbo haziwezi kuwa na radha moja inayofanana na msanii mwingine.

Acha tabia za Kaa.
 
Nyimbo izo mbili za Diamond alizotoa uimbaji wake kama wa Abdul kiba
 
Sijui nina stress. Mi namkubali Kiba, ila kwa huu wimbo hajamshauri dogo. SIJAKAPENDA HAKA KAWIMBO. Kakiitikio kako poa ila verse za dogo hamna kitu.
 
b8dc8fe254e47750a03398e7c1c89fbf.jpg


Huyu nae nasikia anaachia leo
 
Ali Kiba huwa anashindwa kumshauri mdogo wake.....Zamani Abdu alikuwa anaimba vzuri tu ila siku hizi sijui kimekuta nini
 
Watoto wa kkoo wanapugana busta kupanda mlima.




Hahahahaaaaaa,ujinga ujinga tu utuimbia masingeli
 
Back
Top Bottom