si kweliPamoja na katiba mpya, pamoja na kubadilisha uongozi lakini Kenya as our roll model, abduction ni kubwa mno kulinganisha ni sisi ambao tunaelekea huko polepole, question is Je mfumo huo kwa dhati kabisa utatufaa sisi, ukizingatia hakuna tunachoweza kuiga!
Unataka uhalalishe nini hapo kwa kutumia akili za "kakono" kufuta kamasi shavuni?Pamoja na katiba mpya, pamoja na kubadilisha uongozi lakini Kenya as our roll model, abduction ni kubwa mno kulinganisha ni sisi ambao tunaelekea huko polepole, question is Je mfumo huo kwa dhati kabisa utatufaa sisi, ukizingatia hakuna tunachoweza kuiga!
N. B, Huyo kipenzi chao kwa sasa wanamuita - kasongo - na wanaona hawafai, wakati walimchagua kwa kura nyingi kwa jazba ya kukikomoa chama kilichokuwepo awali, stupity at highest! / tusonge Huku tukijifunzia kwa jirani.
si kweli
kenya press ni free wanaripoti vitu kama vinvyotokea
kwetu press imekuw acaptured, hawawezi hata kutipoti vtu vonavyotokea
Legacy Media is Dead
Ni afadhali hata wao wamekubali kwamba kuna hilo tatizo nchini mwao.Vipi kuhusu bunge la "wabonge" wasioambilika Tanzania jumlisha serikali kwa ujumla?Jana tu Jeff wa Citizen tv alimsomea Waziri wa Interior majina ya Gen Z ambao bado hawajapatikana
Kenya ni kibovu sana katika kila area pamoja na katiba ya mpya!Jana tu Jeff wa Citizen tv alimsomea Waziri wa Interior majina ya Gen Z ambao bado hawajapatikana
Kwa nadharia na unafiki.Hali halisi sivyo ilivyo.Nunca!