Kuendesha kituo cha redio sasa hivi kazi kubwa ,ushindani mwingi ,matangazo hakuna.Aiseee kwa nini radio za abdala tu
Hahaha! Kuna watu wakikusikia watakuita pepo.Manabiii feki, Hanipati mimi = mganga wa kienyeji labda ipelekwe Maiti yangu.
Mungu turehemu watu wako wanaangamia kwa kukosa Maaeifa
Nawataka waje hapaHahaha! Kuna watu wakikusikia watakuita pepo.
Unamtukuza binadamu !!?? Huna akili wewe. ....Uzidi kupotea kwani haujitambuwi, haiwezekani mtumishi wa mungu ukampa kashfa badala ya kumtukuza
yaani watu waache kumtukuza Mungu wamtukuze mwanadamu?Uzidi kupotea kwani haujitambuwi, haiwezekani mtumishi wa mungu ukampa kashfa badala ya kumtukuza
Umeliwa mzeeMke wangu ni Muumini wa Huko kwa huyo nabii , vipi kuna shida huko ?
Mtumishi wa Mungu gani? huyo ni tapeli mwamposa kama walivyo matapeli wengineUzidi kupotea kwani haujitambuwi, haiwezekani mtumishi wa mungu ukampa kashfa badala ya kumtukuza
Nikasema tu hihiiiii BANGOSHAUzidi kupotea kwani haujitambuwi, haiwezekani mtumishi wa mungu ukampa kashfa badala ya kumtukuza