Jamani Majura ni jina la ukoo (kabila) na maarufu makwetu (Ujitani) kama vile kina Mwita huko Tarime au Mosha huko kimilanjaro.. Kwa hiyo msishangae watu 100 kuwa na jina hilo na hawana udugu..
Jamani Majura ni jina la ukoo (kabila) na maarufu makwetu (Ujitani) kama vile kina Mwita huko Tarime au Mosha huko kimilanjaro.. Kwa hiyo msishangae watu 100 kuwa na jina hilo na hawana udugu..
watajuana huko huko, halafu iwe ni marufuku kuja upinzani, kwani tabia yao wakishakatwa huko ndio wanajifanya kulalamika ohoooo, pesa inatumika sana!!! tujifunze toka kwa shibuda.
Abdalla Majura mbona aligombea nafasi ya kuomba kuteuliwa na CCM hata mwaka 2010 kwa bahati mbaya wengi wetu bado wachanga sana katika siasa lakini ndiyo tunaongoza kwa kuchonga