Abarikiwe aliyemleta Rais Samia Duniani

Ukiona mtu mzima analamba matako ujue hakuna anachoshindwa kufanya hata kuinamishwa, njaa yako imehama imefika kichwani.
Mkuu hiyo namba ya simu toka umeanza kuiandika mama hajawahi hata kukubip nasikia anapita pita humu au hajaiona uanze kuwa unaiweka juu kabisa
 
Aisee umefika mbali sanaa ankolii.

Inatosha sasa, mvua zimeanza nenda kapande njugu mawe zitakusitiri msimu wa kiangazi haya mambo ya uteuzi yamebuma kubali yaishe, move one.
Ndugu yangu mchambuzi napenda kukwambia kuwa Mimi naishi na kula kwa jasho langu ,kwa kutumia mikono yangu na nguvu zangu, Mimi Ni mkulima ninayejion fahari na heshima kuwa mkulima na kuwaa sehemu ya watanzania wazalendo waliojitolea na kujitoa kulilisha Taifa letu kwa kuhakikisha kuwa chakula kinapatikana kwa wingi na kuwafanya watanzania washibe na Kuendelea na shughuli zao za kiuzalishaji.

Lakini pia kupitia ukulima wangu nashiriki katika kutunza amani na utulivu wa Taifa letu maana huwezi ukamuongoza wala kusikilizwa na mtu mwenye njaa ya chakula,ndio maana unaona watu wakiwa na njaa wapo tayari kuandamana hata mbele ya polisi wenye mitutu ya bunduki,lakini huwezi ukawasikia watu wanaandamana na kuhatarisha maisha Yao kwa ajili ya kudai katiba mpya,hii ndio sababu hata chama chako kimekosa uungwaji mkono katika hoja hii ya katiba mpya katika kuwashawishi watanzania kuwaunga mkono.

Kazi iendeleee,mama yetu Rais Samia Tunamwamini na Tumeamua kuwa Naye Kama Rais wetu mpaka 2030
 
Sina njaa maana Mimi Ni mkulima ninayejitosheleza kwa Mahitaji ya chakula,mimi Ni mzalendo ndio maana naandika ukweli japo Ni mchungu kwa watu Aina yako wasiopenda kuona au kuusoma ukweli
 
Tulishakataza kujielezea sana.
Move on ankolii.
 
Sina njaa maana Mimi Ni mkulima ninayejitosheleza kwa Mahitaji ya chakula,mimi Ni mzalendo ndio maana naandika ukweli japo Ni mchungu kwa watu Aina yako wasiopenda kuona au kuusoma ukweli
Namba yako ya simu inauhusiano gani na ukweli!!?
Mkulima uache kuwaza mvua, pembejeo na soko uwe busy kutafta buk7 ya Lumumba ambayo NATO sidhani kama unapata
 
Amina. Mama yuko vizuri. Kaliunganisha taifa tumekuwa kitu kimoja. Hamna kesi za kubambikiwa na vitisho vya hovyohovyo kutoka kwa wasiojulikana.
Mama hakika ni kiongozi bora.
 
Namba yako ya simu inauhusiano gani na ukweli!!?
Mkulima uache kuwaza mvua, pembejeo na soko uwe busy kutafta buk7 ya Lumumba ambayo NATO sidhani kama unapata
Silipwi ili kuandika hapa labda Kama wewe ndio unalipwa Kuja hapa jukwaani kupotosha ukweli
 
Unamsifia hadi unayemsifia anaona kero njaa yako ni Kali sana
Hapana ndugu yangu Mimi Sina njaa maana mkulima wa kweli Kama Mimi huwezi ukafa kwa njaa Wala kulia kwa njaa,pia nayoandika hapa Ni ya kweli mtupu juu ya Rais wetu mama Samia,ndio maana unaona hata viongozi mbalimbali bila kujali itikadi za vyama vyao Wanampongeza Sana Rais Samia kila wapandapo katika majukwaa ya kisiasa
 
Mkuu utateuliwa si kwa sababu umeomba Ila umeonekana
Uongozi unatoka kwa Mwenyezi MUNGU,Usimfanye vitu ili ionekane kwa ajili ya kupewa uongozi maana kwa kufanya hivyo unaweza umwa na kupata msongo wa mawazo ukiona huteuliwi ,fanya vitu kwa moyo wa uzalendo na kwa kuusema Ukweli hata Kama Ni mchungu kwa baadhi ya watu,ndio maana Mimi nawaambia ukweli watanzania ya kuwa Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu Sana maana viongozi aina yake hawazaliwi kila Siku na hawapatikani kila mahali,kwetu watanzania Ni bahati kuwa na mama Samia Kama Rais wetu ambapo hata majirani zetu wanatamani angekwenda kuwaongoza hata kwa mwaka mmoja tu
 
Mkuu utateuliwa si kwa sababu umeomba Ila umeonekana
Uongozi unatoka kwa Mwenyezi MUNGU,Usimfanye vitu ili ionekane kwa ajili ya kupewa uongozi maana kwa kufanya hivyo unaweza umwa na kupata msongo wa mawazo ukiona huteuliwi ,fanya vitu kwa moyo wa uzalendo na kwa kuusema Ukweli hata Kama Ni mchungu kwa baadhi ya watu,ndio maana Mimi nawaambia ukweli watanzania ya kuwa Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu Sana maana viongozi aina yake hawazaliwi kila Siku na hawapatikani kila mahali,kwetu watanzania Ni bahati kuwa na mama Samia Kama Rais wetu ambapo hata
 
Hiyo namba ya simu ya nini sasa wewe kifaduro? Aliyemleta ni Corona

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…