Aanzeje kumfukuza?

Kwa style hzi hata rais akiblandah vpi atuwez kumfukza,kama m2 wa ndan 2 anakushnda!kwl watanznia ni wakarimu.
 
mie mtu anifanyie dharau zote ila anapofikia hatua ya kushindwa kumheshimu mama yangu mzaz, achaaaaaaaa...............
 
snowhite asante kwa ushauri wako, Eva aliniomba ninunue kesi ila nikamkatalia make me huwa si mwongeaji. afu pia ni ngumu isije onekana kama me ndo kichocheo cha kutaka Anna aondoke. nilimshauri tu akaze moyo afanye maamuzi magumu, asisubiri Anna aje amtie vidole machoni ndipo aamue. asante
 
Last edited by a moderator:
Eva na anna walisoma o-level darsa 1.baadae wakapotezan kwa miaka10.walipokutana tena Eva alikuwa mfanyakaz na pia alikuwa na duka.Anna hakuwa na kazi yoyote bal alikuwa kapangishiwa nyumba na mme wamtu.Haikuchukua muda Anna akagonganisha mabwana na hatimaye akafukuzwa na mme wamtu huyo,aliambulia nguo tu kwan alinyang'anywa kila kitu.Eva alimpokea,wakaish kwa miez4 sasa.tabia ya Anna imebadilika mpk anapeleleka mabwana tofautx2 nyumban kwa Eva,akiwa hayupo.Eva anauliza aanzeje kumfukuza anamkera kwa tabia
https://www.jamiiforums.com/newthread.php?do=newthread&f=62

kama huyo bwana aliyempangishia nyumba ameweza kumfukuza na alikuwa anapewa utamu EVA anashindwa vipi na wakati hakuna anachokipata kwa anna zaidi ya kudharaulishwa
Akishindwa kumweleza ukweli mapema kama amechoshwa na tabia zake iko siku anna atamletea na yeye mwanaume akiamini ndio fadhila pekee ambayo anaweza mpatia rafiki yake kwa kupewa hifadhi.
AMWAMBIE WAZI KUWA HAMTAKI TENA NYUMBANI KWAKE.
 
Mwambie aongee na boyfriend wake, kama hana atafute dume lolote limsaidie kumfukuza huyo mgeni
 
Kiukweli itakuwa ngumu sana kukwambia nenda kamuambie Eva amwambie maneno haya Anna..
Ila all in all uvumilivu una mwisho..atafute maneno yeyote but Anna must go..she doesn't deserve that respect!!
Just makavu live style....
 
thanks mkuu!
 
mweh!
jamani si anamueleza ukweli kua tabia yake mbaya ivo hawezi kuishi naye nyumba moja simple
 
tatizo limlokusumbua ni woga ..............

sijui huo woga wa nini?

aamke asubuhi mwambie shosti funga mizigo yako siwezi kuishi na wewe kwa sababu moja, mbili , tatu,

akupe funguo zako za duka....

kwa sababu ni shosti mtafutie laki moja mpe akatafute ustaarabu wake....

siku nyingine mwambie akome kupokea pokea watu hovyo, mtu mmepotezana miaka kumi...mnaonana unamchukua kwako, hujui ndani ya miaka hiyo kumi mtu kabadilika vipi, hujui amekua chui au binadamu, wakati wengine wanakimbia matatizo kuna ambao wanayakaribisha na kuyakumbatia....

kama hawezi kumtimua huyo mtu mwambie asikuchoshe....

nyumba yako utakosaje mamlaka nayo?

kwanza wakati anamkaribisha alimpa sheria na taratibu za nyumba yake?

asante kwa ushauri, ila isue ya kumpa kodi ya 6month ni ngumu. kumbuka kwa miezi 4 yote Anna ameishi kwa Eva bila kuchangia hta hela ya chumvi. it means ameshasave vya kutosha kuanza maisha!
 
Sasa kama huyo Bwana wake mwenyewe kamshindwa, yeye atawezea wapi? charminglady hebu tafakari hapo ...
 
Last edited by a moderator:
Eva na anna walisoma o-level darsa 1.baadae wakapotezan kwa miaka10.walipokutana tena Eva alikuwa mfanyakaz na pia alikuwa na duka.Anna hakuwa na kazi yoyote bal alikuwa kapangishiwa nyumba na mme wamtu.Haikuchukua muda Anna akagonganisha mabwana na hatimaye akafukuzwa na mme wamtu huyo,aliambulia nguo tu kwan alinyang'anywa kila kitu.Eva alimpokea,wakaish kwa miez4 sasa.tabia ya Anna imebadilika mpk anapeleleka mabwana tofautx2 nyumban kwa Eva,akiwa hayupo.Eva anauliza aanzeje kumfukuza anamkera kwa tabia
https://www.jamiiforums.com/newthread.php?do=newthread&f=62

kama anajua analeta wanaume mda hayupo, amfanyie suprise na akimkuta on spot amwambie live kuwa hawezi kuishi nae tabia hiyo haivumiliki.

AU

Kama kapangisha amwambie kodi imeisha na kila mtu atafute ustaarabu wake.
 
asanteni kwa ushauri wenu, umemsaidia dada Eva na sasa hv ninavyopost. ameshamnyang'anya funguo za dukani. kasema ataongea naye ucku wa leo kuhusiana na kuondoka kabisa nyumbani kwake. nimemuonesha ushauri wenu na umempa nguvu zaidi. asanteni sana wanajamvi!
 
Kitu simple sana...amwambie tu ukweli kama amechoshwa na tabia mbovu...anamuogopa binaadam mwenzio ili iweje?
 
Kweli binadamu tuko tofauti sana. Yaani huyo rafiki tu anazingua namna hiyo, lakini eti Eva anajiuliza mara miamia. Ningekuwa mimi acha rafiki hata ndugu yangu wa damu hachukui raundi napiga chini fasta sana bila hata kujiuliza mara mbili, mambo ya kuleteana ujinga ujinga wakati mi nakuletea sifagilii kabisa.
 
Back
Top Bottom