Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Nipo miss wangu....nikuje??
njoo nilikuwa nakusubiri wewe
Nipo miss wangu....nikuje??
njoo nilikuwa nakusubiri wewe
Nifungulie miss
funguo yako ya akiba umesahau wapi?
Bora tu uje kufungua wewe....si unaelewa??
Huyo si ni nanihiii??
Nifungulie miss
Mmmmmh
unaguna nn
kuna watu wanapenda sifa
hahahaha wivu tu unakusumbua
.dalili ya bibi harusi asiye na makuu,mvumilivuKubebwa kwenye bajaji na kudumu ndoani vinahusianaje
By: utafiti 23:10 7th November 2014
Nasubiri kipindi kiishe braza niondoke na
mtangazaji
(Sasa huku ndo kuturingishia au!!)
mtu chake bwana mwache aringe.lol