Nimependa usafiri wake, huyo hana mbwembwe hata kwa mme wake atadumu!!
Khantwe....!!?
Huyo si ni nanihiii??
Kwa kufunga pingu za maisha...japo ulituficha lakini mshana kaleta picha.....
miss.....
nilikuwa nakutafuta u know
Mie jamani mbona nimeolewa toka mwaka jana?Hiyo picha nilikuwa namsimamia mtu
Haya mtaje ulokua unamsimamia...