Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,113
Kama ambavyo maombi ya ushauri yalivyokufikia, basi we weka kinyume chake...Sasa tukikushauri wewe yeye yatamfikiaje?
Shauri bwashe....hayo mengine niachie mimiSasa tukikushauri wewe yeye yatamfikiaje?
Mkuu 90% ya watu wanao ombea ushauri watu wengine huwa ni wao wenyewe...ila wanaogopa kujieleze that's why wanatumia kivuli cha rafiki, jirani au jamaa yangu...wewe mshauri kama alivyo jieleza.Sasa tukikushauri wewe yeye yatamfikiaje?
exactly mi huwaga sifichi kama vyangu ntasema tu,kama vya jirani ntaweka pia!Mkuu 90% ya watu wanao ombea ushauri watu wengine huwa ni wao wenyewe...ila wanaogopa kujieleze that's why wanatumia kivuli cha rafiki, jirani au jamaa yangu...wewe mshauri kama alivyo jieleza.
Hebu tumshauri huyu mtu tusi toke nje ya mada....Mimi ni mjumbe tu na kwAnini Kama ni yangu nisiyaweke wazi kwani kuna anayenijua humu??exactly mi huwaga sifichi kama vyangu ntasema tu,kama vya jirani ntaweka pia!
wa kunikejeli anikejeli tu Ila yangu yashaisha!
Aache pombe!Hebu tumshauri huyu mtu tusi toke nje ya mada....Mimi ni mjumbe tu na kwAnini Kama ni yangu nisiyaweke wazi kwani kuna anayenijua humu??
Hasa kama mtu anakunywa pombe na ikampelekea kuwa mgomvi,anatukana matusi na kudhalilisha watu bora kuachapombe bwana mtihani sana basi tu
I can't stand that person even a bit,kunywa kwa starehe yako Ila kukerana hapana kwa kweli!Hasa kama mtu anakunywa pombe na ikampelekea kuwa mgomvi,anatukana matusi na kudhalilisha watu bora kuacha
After all unaogopa nini wakati tunachati kwa neema za fake ID?...tuwe wawazi sometime, hapa tuna express mawazo na fikra zetu na siyo Identities.exactly mi huwaga sifichi kama vyangu ntasema tu,kama vya jirani ntaweka pia!
wa kunikejeli anikejeli tu Ila yangu yashaisha!
yes hata kama wapo wanaonijua shauri zao kwa nn nisiwe honesty as long as what am saying is absolute true!After all unaogopa nini wakati tunachati kwa neema za fake ID?...tuwe wawazi sometime, hapa tuna express mawazo na fikra zetu na siyo Identities.
Sasa mawazo yetu utayapeleka wapi?!!Ushauri wote unalenga kumshauri Aache pombe, ila namna ya kuacha wakuu ni changamoto...maana Jamaa kanizidi hata mimi kwa mbali mno. Na sishauri sana Mke na mume kukaa mbali kwa ajili ya kutazamana hapo kunakuwa hakuna ndoa. Nasema huyu bwana kanizidi mbali ukizingatia Uzi nilioleta hapa last two weeks.
Mkuu Big up!yes hata kama wapo wanaonijua shauri zao kwa nn nisiwe honesty as long as what am saying is absolute true!
Mi sinaga za kuficha matatizo kisa kufa kihoro!!