Aaah. Spika msataafu sitta. Hapo nimekukubali!

Aaah. Spika msataafu sitta. Hapo nimekukubali!

Mbona Mdee kama vile hataki

Hataki wapi??? Anaogopa kemela, hujaona vizuri mpaka chini (scoll down) uone mikono ya Bidada imeshika sehemu gani ndio utajua hata simba jike ni mkali zaidi kuliko dume lakini huzaa.

nilikuwa na mpango wa kumtokea mdee sasa basi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Maendeleo yatakuchukua karne nyingi tu, unaogopa maji ya kisimani kwa vitisho vya milio ya chura?? Kalagha Bhaho!!

Siasa sio uhasama! Nice pic, but i can bet 'mage' hakuifurahia!

Taratiibu!

Hivi Mdee Huzioni Salon Mbunge wetu? Jamani! unatuangusha! Nenda kafanye Make up kidogo!!
Na najua ukienda mala mbili tu utarudishiwa ngozi ya Utotoni na utakuwa Chuma mala elfu.(Tutakutaka!!)

Back
Top Bottom