Aaah. Spika msataafu sitta. Hapo nimekukubali!

mficha uchi hazai, weka mambo hazarani tukusaidie mh. spika mstaafu.

 
bila shaka magreth sitta (mkewe) hakuwepo karibu.nice pozi
vyama vinakaa kando mziki unachukua nafasi yake,safiiii sanaaaa
 
..hii ilishawekwa hapa siku nyingi. tumeichoka.
 
tunapingana kwa hoja,kusocialize si dhambi,na hasa baada ya kazi ngumu ya kuwabana mafisadi,hongera Mdee huo ndo ukomavu wa siasa
from sammosses-Shinyanga
 
hahahah hiyo imetulia sana
 
" Lakin bint unakomaaga mno mjengoni mpaka ccm wanakosa raha punguza kiduchu basi" 6 alisikika akilonga, "laki mzee six,........
 
nilikuwa na mpango wa kumtokea mdee sasa basi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…