aaah! mimi nalala bwana, usiku mwema!

aaah! mimi nalala bwana, usiku mwema!

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
811
nasikia usingizi jamani, nataka lala pia. So usiku mwema warembo/wadau!
 
Hivi ni unasikia au unahisi isingizi..???

Haya lala unono dear..
 
kwahiyo jf wote warembo? Ngoja hawa wenye videvu na ndevu zao na vigimbi waje wakusikie.


Husny mimi nimempata saana, ina maana hana interest kidume aingie humu kumuaga....lol
 
hivyo eeh! Hebu atupe viwembe na sindano tulinde sredi.


ha ha ha na hizi Avatars Je... wengine wana Avatar za kike but vidume na vice versa... naona atakua anapima unyororo wa sauti..
 
hehehehe! Unyororo wa sauti za keypad nahisi.


Ndo maana yake...lol.. lkn hata hvyo Gag ana vituko saana na post zake...
Sijui kisha lala, kama kalala naona wakaka wataruhusiwa... ha ha ha
 
nasikia usingizi jamani, nataka lala pia. So usiku mwema warembo!
icon1.png
aaah! mimi nalala bwana, usiku mwema!
Sasa mtoto wa kiume unapokuwa na kauli kama hizo je ni salama au lawama?
 
Back
Top Bottom