Aaah!...Inauma Sana Hii!!!

Aaah!...Inauma Sana Hii!!!

Pole sana
INAUMA SANA!
"Kumtakia Hapibethidei(sms) Umpendae,unasubiri Jibu Husilipate"
INAUMA SANA!
"Kujikomba Kwa Fulani Ili Ajilengeshe Lakin Akawa Hana Tym Nawe"
INAUMA SANA!
"Kumtumia Vocha Mpenzi Wangu Lakin Anabip Ili Nimpigie,Anishukuru"(Sijui Vocha Yangu Kaitumia Kama Pambo?)
INAUMA SANA!
"My Ex Anapopata Mpenzi Mwingine Na Akawa Shavu Dodo Zaidi Ya Nilivyokuwa Nae"
INAUMA SANA!
Mda Wa Gemu Unapofika.. Nami Nina Ugwadu,Lakin Mwenza Wangu Anabana Miguu Huku Kageuka Ukutan Akikoroma(sijui Nitauingizia Wapi?

INAUMA SANA!
"Nashusha Uzi Unaohusu Kubwagwa Ktk Mapenz Tena Kwa Kumaanisha Lakin Mwingine Analeta Utani"

HEBU NAWE TUPIA VINAVYOKUUMA SANA!!
 
Inauma sana unapojitahidi kufanya kazi kwa kadiri ya uwezo wako kwa manufaa ya ofisi/kampuni/nchi yako lakini hupati support toka kwa boss wako

Pia kujituma Kwa Mpenzi Wangu kum-biringa 6kwa 6,lakin Yeye Akawa Amejiegesha Kama Gogo....Wala Hakupi Ushirikiano!
Aaah!...Inauma Saaana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom