Aaah!...Inauma Sana Hii!!!

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
INAUMA SANA!
"Kumtakia Hapibethidei(sms) Umpendae,unasubiri Jibu Husilipate"
INAUMA SANA!
"Kujikomba Kwa Fulani Ili Ajilengeshe Lakin Akawa Hana Tym Nawe"
INAUMA SANA!
"Kumtumia Vocha Mpenzi Wangu Lakin Anabip Ili Nimpigie,Anishukuru"(Sijui Vocha Yangu Kaitumia Kama Pambo?)
INAUMA SANA!
"My Ex Anapopata Mpenzi Mwingine Na Akawa Shavu Dodo Zaidi Ya Nilivyokuwa Nae"
INAUMA SANA!
Mda Wa Gemu Unapofika.. Nami Nina Ugwadu,Lakin Mwenza Wangu Anabana Miguu Huku Kageuka Ukutan Akikoroma(sijui Nitauingizia Wapi?

INAUMA SAAANA!
Mtu Anapotumia;X=S
TH=S
Q=K
Ktk Uandishi Wa Kiswahi,Kwa Makusudi Kabisa!!
INAUMA SANA!
"Nashusha Uzi Unaohusu Kubwagwa Ktk Mapenz Tena Kwa Kumaanisha Lakin Mwingine Analeta Utani"

HEBU NAWE TUPIA VINAVYOKUUMA SANA!!
 
inauma sana kuona kuwa kama kijana hana hela basi K kwake ni ndoto

inauma sana kuona watu wakidanganyika na mapenzi ya mbali

inauma sana pale mpenzi wangu anapo ninyima tigo

inaniuma sana pale mwanamke anapo nifanya nihangaikie K yake
 
kumbe kuna watu hawajibu hata sms za hepibesidei??

Duh, mie nimemtakia leo akajibu instantly
 
Haiumi zaidi ya kuamua kufanya maamuzi magumu. Asipojibu achana naye. Ukimnunulila vocha akabeep mpigie na usirudie tena kumnunulia nyingine. Kwani unalazimishwa?
 
inauma sana pale unapo kwenda kuchukua jibu kwa demu uliye mfukuzia siku nyngi, akakuzungusha na siku aliyokuahidi ukachuke jibu unakuta wametenga msiba kwako ukiuliza unaambiwa demu kafariki ghafla..........
 
inauma sana kuona kuwa kama kijana hana hela basi K kwake ni ndoto

inauma sana kuona watu wakidanganyika na mapenzi ya mbali

inauma sana pale mpenzi wangu anapo ninyima tigo

inaniuma sana pale mwanamke anapo nifanya nihangaikie K yake

Hili ni janga la kitaifa , lol
 
kumbe kuna watu hawajibu hata sms za hepibesidei??

Duh, mie nimemtakia leo akajibu instantly

KONGOSHO!!
We Acha Tu Hii Dunia Ina Wakaaji Wenye Roho Mbaya... Mpaka Sms Sijajibiwa!!
 
inauma xana umpendae hujawahi mwambia,
inauma xana kuwa na bint akilini unajua kabisa huna tyme nae, just part time
inauma saana demu ako anapochiti kwako kwa sababu ya hela,
inauma unaposhindwa kufanya mambo ya msingi kisa chapaa,
inauma pale mtu anashikilia maisha yako, anabana unashindwa kufanya mambo yako nakuua nikiwa na chance
 
inauma sana pale unapo kwenda kuchukua jibu kwa demu uliye mfukuzia siku nyngi, akakuzungusha na siku aliyokuahidi ukachuke jibu unakuta wametenga msiba kwako ukiuliza unaambiwa demu kafariki ghafla..........

Alafu Unapata Stori Kuwa Alijiua Kwa Kunywa Sumu Baada Ya Kutoswa Na Mshikaji Mwingine!
 
Mwanangu Majigo mapenzi ni mapenzi hayana wakati wala nini usitafute sababu. Tofauti yetu nanyi ni kwamba hamtaki kujifunza wala kukubali ukweli. Zama zetu mtu akikutolea nje nawe unamtolea nje. Kwani ni yeye pekee duniani? Hali ni mbaya kwenu ambao nasikia wanaume wazima mnaitwa mabuzi nanyi mnakubali na kutenda kama mbuzi. Hata mbuzi wenyewe hawafanyi kama nyinyi ingawa ni hayawani. Nakutakia upone haraka na kustuka toka kwenye mapenzi hayo ya kibubusa na upwakizi mwanangu Majigo. Utakufa bure wakati si wako.
 
inauma xana umpendae hujawahi mwambia,
inauma xana kuwa na bint akilini unajua kabisa huna tyme nae, just part time
inauma saana demu ako anapochiti kwako kwa sababu ya hela,
inauma unaposhindwa kufanya mambo ya msingi kisa chapaa,
inauma pale mtu anashikilia maisha yako, anabana unashindwa kufanya mambo yako nakuua nikiwa na chance

Hapo Kwenye Chapaa Panatuuma Wengi!!
 
Inauma sana unapompenda mtu na kuwa na matarajio nae makubwa baadae unagundua ni mume wa mtu..!

Inauma sana mpenzi wako anapomtokea best friend wako..!

Inauma sana pale mwalimu anapokufelisha mtihani makusudi kwa sababu tuu umemnyima K..!

Inauma sana ukigundua mumeo anatembea na Binti yenu..!
 
Inaniuma sana nikifikiria uwaga ninalia inaniuma sana kila nalofanya inashindikana,inaniuma sana zaidi ya juma nature alivyoacha na sintah
 
Mwanangu Majigo mapenzi ni mapenzi hayana wakati wala nini usitafute sababu. Tofauti yetu nanyi ni kwamba hamtaki kujifunza wala kukubali ukweli. Zama zetu mtu akikutolea nje nawe unamtolea nje. Kwani ni yeye pekee duniani? Hali ni mbaya kwenu ambao nasikia wanaume wazima mnaitwa mabuzi nanyi mnakubali na kutenda kama mbuzi. Hata mbuzi wenyewe hawafanyi kama nyinyi ingawa ni hayawani. Nakutakia upone haraka na kustuka toka kwenye mapenzi hayo ya kibubusa na upwakizi mwanangu Majigo. Utakufa bure wakati si wako.

Uko Sahihi Father!
Lakini Mda Mwingine Mapenz Yanaelemea Upande Mmoja Mpaka Mtu Anakuwa Hasikii, Haoni!!
 
Ukifikia hapo mwanangu Majigo jionee huruma. Hata nami nakuonea huruma kama umefika hapo. Ukweli ni kwamba unaweza kujinasua bado hasa ukizingatia kuwa huyo siyo pekee duniani. Vinginevyo kama unatafuta aondoe roho yako endelea na mapenzi hayo ya ajabu na kipumbavu.
 
Inauma sana pale unaponyang'anywa tonge mdomoni................................,.inauma sana pale umpendaye anapokufungia vioo...inauma sana....
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom