Anaishi mkoa gani ili niwashtue mashoga zangu wasije kuvaliwa?Ni handsome wa ukweli ,msomi na ana kazi nzuri tu Lakini sijajua nia na lengo lake kwa kina dada .(kuwakanyagisha miwaya or?
Kanunua engagement ring nzuri sana na ya thamani kubwa .........
Tabia zake ni hizi....
Anafanya uchunguzi wapi kuna msichana mrembo mwenye sifa zote na mwenye kazi nzuri au biashara ambaye si tegemezi ,anamvika pete na Kuhamia kwa mwanamke
Akimchoka tu anaanzisha visa na anamnyang'anya Pete G/F na kuanza harakati zake za kutafuta mwingine , imekuwa ni kawaida na tabia yake!
Hii Pete yake imeshavaliwa na kina dada wengi mwisho wao ni kuachwa .
Kina dada please tuweni makini na baadhi ya wanaume wa aina hii ,anakuja kwako anajifanya anakupenda anachanganyikiwa akidanganya bila ww anaona kama mshale wa maisha yake umestop
kumbe moyoni ana jambo zito amepanga juu yako .
asije kuingia JF :hand:
Na nyie mabinamu huyu mwenzenu ana pepo gani???
Based on true story !
Naomba nisichangie kwanza. Naelekea kwenye thread ya maandamano ya Mwz.
Mabinti....Epukeni masharo-baro!Anatumia kipaji chake vizuri, U-HB na uwezo wa kukonga nyoyo za wadada, maisha yanakwenda...
Vp, nawe ni mhanga?
Naomba nisichangie kwanza. Naelekea kwenye thread ya maandamano ya Mwz.
Anaishi mkoa gani ili niwashtue mashoga zangu wasije kuvaliwa?
KipipimoyoToa busara zako kidogoo Gos
Kipipimoyo
Marytina ntafute private nikufundishe kuwajua hao
Marytina ntafute private nikufundishe kuwajua hao
HUYU sio breadwinner katika family,nadhani partner wake ndio anavaa suruali maana itakuwaje mwanamume rijal ubebeshwe bango?...imagine?! lakini anawapata hao wajinga 'wajinga wenziwe' walio desparate kuvishwa engagement ring, kumbe mwenzao ana cheki standards kama 'mwakilishi mkaazi wa "TBS" '. I wish watu kama hawa mngekuwa mnawaweka hadharani;
HUYU sio breadwinner katika family,nadhani partner wake ndio anavaa suruali maana itakuwaje mwanamume rijal ubebeshwe bango?