Aaaah matapeli badilisheni swaga bhna

Hahaha! Nshakutana na msg za aina hiyo kibao ninaishiaga kusoma na kucheka. Hasa sielewi kama ni matapeli kweli au waganga saa hvi nao biashara yao imekuwa ngumu sana so wakaamua kutafuta wateja kwa ubunifu mpya
 
Hahahaa kuna hao na wale wanaotafutia watu kazi
 
Wajinga sana, usawa huu mganga unampata kwenye simu, nilimpigia mmoja nikamwambia akome kunitumia meseji zake.
 
Kuna mmoja amenitumia meseji anaitwa biti Kanjeri anajidai yye ni mganga mzuri nikamjibu mimi ndoto yangu ni kumuoa mganga wa kienyeji so kama upo tayari kuolewa tuonane ili nianze mchakato wa kufunga ndoa nawe.

Hakujibu mpaka leo kimya nikipiga simu yake haipokelewi sijui anadhani wote ni mabashite hapa Tanzania.
 
Wanaisoma Namba wehu hawa walichagua wenyewe vya dezo mpaka 2026
 
Aiseh Mimi naishi arusha.kuna mganga mmoja huyo ananisomea ramani kweli.kwa mwezi ananitumia sms Mara 2-3,sijui namba yangu kaipata wapi mkuu.Dan!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…