Aaaaahhhh! Kumbe mapenzi yana rangi nyingi.

Aaaaahhhh! Kumbe mapenzi yana rangi nyingi.

Hiv kwanini unapenda kula viporwa? mtu amekuacha tena anarudi unampokea ? duh kweli kuna watu wa ajabu dunia hii
 
Hiv kwanini unapenda kula viporwa? mtu amekuacha tena anarudi unampokea ? duh kweli kuna watu wa ajabu dunia hii
Labda huenda ule msemo wa "zimwi likujualo halikuli likakwisha" umenilemaza.
 
Ukiachwa tafuta mwingine huyo atakusumbua anakuzidi akili.
 
Mwoga tu.Kufanywa spare tyre ni udhalili mkubwa. Ukimrudia tarajia dharau kubwa zaidi.Kuwa na msimamo. Ninachoweza kukubaliana na wewe kama huyo ni mwanamke wako wa kwanza na umebalehe recently so una woga wa kujaribu mwingine. Kuwa mwanaume sio mwanaume shati.
 
Hahahhahah...mtoa mada intelejensia yako haifanyi kazi na inakudanganya...huyo alipotegemea hakupata alichotaka kwa hiyo karud kambini kwako,ipo siku tena ataondoka
 
huyo lazma aliliwa pembeni afu jamaa akasimamia kucha ukawekwa kando...concluded!!
walivozinguana(kugundua jamaa ana wake ampendae ye au ye hana chance hapo)akakumbuka kuna boya wake kamuweka bench acha arudi TAKE CARE akichepuka tena akakutana na msimamia kucha kwa mara nyingine huna chako!!!!

Jamani mbavu zangu,watu mna kauli! Lkn hii ndo fact.
 
Ukiona boya katendwa ujue kuna mjanja kapendwa. Ulikua boya haiwezekani ukawa mjanja ghafla hivi.
 
Mwoga tu.Kufanywa spare tyre ni udhalili mkubwa. Ukimrudia tarajia dharau kubwa zaidi.Kuwa na msimamo. Ninachoweza kukubaliana na wewe kama huyo ni mwanamke wako wa kwanza na umebalehe recently so una woga wa kujaribu mwingine. Kuwa mwanaume sio mwanaume shati.
Hapana sio wa kwanza labda atakuwa wa mwisho. Wakati mwingine ni vizuri kujielekeza ktk matarajio chanya na si hasi.
 
Siyo rangi pia mapenzi yana sura nyingi. Za wanyama. Za binadamu. Za ndege etc.
 
Back
Top Bottom