Mhhhh! Lizzy akisharudi na mapombe yake huko alikopita si ajabu keshakachua nyumba ndogo halafu yuko mbwiiii na si ajabu kishajitapikia hata anasahau kama ana mke ndani ya nyumba...mke ana hamu ya kunanihii na mumewe lakini jamaa hajiwezi hata kuinua kichwa tu haiwezekani halafu hela yote ya kufanyia mambo ya kimaendeleo anaichakachua kwenye kilevi.