"A woman of my dreams" 25years later...

kulikuwa na thread moja hivi ya kumpongeza member fulani kufikisha 30yrs ya ndoa nilibaki wow....nilivyokuwa namhic ni tofauti kabisa, sasa hii leo ya 70's...hahaha...hii ndio JF bana unaweza kuhic thread imeanzishwa na under age ukish2ka ni libaba/limama lizima....kha.

Nyamayao, Hii thread imeanzishwa na jibaba kweli na ni true stori, hilo tatizo bado ninalo. Nipe ushauri huku ukijuwa kuwa nimeshapitia mambo mengi.
 
Back
Top Bottom