"A woman of my dreams" 25years later...

mbona kwa miaka unayoeleza wewe ni baba yangu? naed akusema kwa mama .................kusema....................hata ukininunulia pipi.................. naenda kusema
 
Kwa umri wako...na hekima ambazo i suppose you have, sidhani kama unapaswa kuwekwa njia panda na swala kama hili. Yaani utake kusaliti ndoa yako sababu ya some "old silly crush"!? Think twice... You have so much to loose.
 
kaka inabidi ujue huyo dada hakukupenda,hakupendi,na hata kaa akupende,kwakuwa umesoma muda mrefu naamin utakuwa na kaz nzuri na kipato cha kutosha,huyo dada anataka hela zako na umsaidie kulea wanae,funga roho achana nae,anatamaa ya hela huyo hana mapenzi ya dhati,baada ya kuachwa ndio akumbuke alipendwa....kimbia kaka...
 
Miaka 25 ya ndoa, maana yake watoto wako wamo humu na possibly wao ndio wanakupa ushauri; badala ya wewe kuwapa ushauri.

Sidhani kama kuna kitu hukijui, labda unatupa story tu!

Well said mkuu, sasa mtu mzima kama huyo badala sie vijana tuombe ushauri kwake, yeye ndiye anaomba ushauri kwetu.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Dah!hii situation naona na mimi itakuja kunitokea siku za usoni maana kuna msichana nilisoma naye mpaka leo sijawahi kumpenda yeyote kama ninavyompenda huyo mtoto!
 
Upo njia panda kivipi? Wewe ni mtu mzima na siyo mtoto. Naamini unajua nini maana ya ndowa. Ukiamua kudungua nje ya ndowa ujue linakuhusu . Nawalisema ukionja asali utachonga mzinga. So make wise decision.

Ahsante! Ni ushauri unaoweza kunipa nguvu, lakini hata kuwa nimelonga basi mambo si ya kawaida!
 
wacha maneno yako wewe",..anavutia! anavutia!..kwan yeye kitegauchumi na ww muwekezaji...heshim ndoa yako..:boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing:

Ni maumbile mwenzangu, alisalitika Baba yetu Adamu
 
Miaka 25 ya ndoa, maana yake watoto wako wamo humu na possibly wao ndio wanakupa ushauri; badala ya wewe kuwapa ushauri.

Sidhani kama kuna kitu hukijui, labda unatupa story tu!

Hivyo unafikiri kuna aliyekamilika eti ni mrefu kuliko wengine? Halafu Kaunga hii si stori kuwa imeshapita bali ni kitu kilichopo sasa. Unataka kunambia kuwa hujawahi mzazi wako kukutaka ushauri kwa jambo fulani?
 
Hahahahaha, duh una mambo, Em acha kutuenjoy, tunga story nyngne hapa umeprove failure... Acha obsession.za ajabu hzo... We mtu mzima kweli? we ni dogo tu unatutungia ctor.. Post thread za maana bna

Ni true stori na kwa vile hapa hapakuwekwa daraja fulani nahisi wapo wakubwa na wadogo kwangu ambao wanaweza kunishauri. Hivyo ulishapata posti yangu yoyote iliyokupa dalili kuwa mimi ni mtoto mdogo?
 
Kwa umri wako...na hekima ambazo i suppose you have, sidhani kama unapaswa kuwekwa njia panda na swala kama hili. Yaani utake kusaliti ndoa yako sababu ya some "old silly crush"!? Think twice... You have so much to loose.

Kwa upande mmojanakubaliana na wewe kuw ushauri wako sahihi lakini ulishasikia kuwa hamu inaumri fulani kukufuata?
 
hujajiuliza kwa nini alikudharau that time?? Ujana wake achezee na nani uzee wake amalizie nan? Hahahahahaha. Akili kumkichwa na utu uzima dawaa..

Sina haja ya kujiuliza kwani nilijuwa kila kitu kina daraja lake.
 
mbona kwa miaka unayoeleza wewe ni baba yangu? naed akusema kwa mama .................kusema....................hata ukininunulia pipi.................. naenda kusema

Bora niite Mzee kuliko Baba si unajuwa watu wazima siku hizi dili si vizuri kujinyima nafasi.
 
Dah!hii situation naona na mimi itakuja kunitokea siku za usoni maana kuna msichana nilisoma naye mpaka leo sijawahi kumpenda yeyote kama ninavyompenda huyo mtoto!

Thats true love, never die! Hawajapenda hao wasingelijidai kuwa werevu mbele ya kupenda!
 
Back
Top Bottom