"A US election is a global election" - Francois Hollande

"A US election is a global election" - Francois Hollande

Rais wa nyumbani kwenu na si wa dunia, TZ tunae Magufuli.

Rais wa Marekani ni rais wako na wewe.

USA baby
upload_2016-8-3_10-16-55.png
upload_2016-8-3_10-16-56.png
upload_2016-8-3_10-16-57.png
.
 
Kitendo cha FBI kumusafisha Clinton nili declare ushindi kwake inaonekana kuna mpango mkubwa unatengenezwa kummaliza Trump!!
Ndo maana hata vyombo vya habari vinamchafua Trump. Lengo lao ni kutawaliwa na mwanamke tu na si vinginevyo.
 
Waache wamchague Clinton alafu atokee Osama mwingine kama huyo binti hajaachia ngazi
 
Hivi na Marekani wanaendaga waangalizi wa kimataifa kipindi cha uchaguzi ??
 
Trump atatoboa wamarekani watamkata asubuhi na mapema sana nini uhakika 100%
Hilo analijua ndo maana ameanza kulalamika mapema!!!
Hapo una maanisha nini sasa Trump hatashinda au atashinda? huu uandishi huu.......mhhhh!!!
 
Pale mtu mweusi tiiiiiiiii! Kama Nyani Ngabu anajisikia fahari sana kuishobokea marekani kuliko nchi ya asili yake. Nadhani ni utumwa uliopitiliza.
Yaani Nyani Ngabu muda mwingi kimkia kimesimama kisa kujinasibu na marekani. Yaani hivyo tu wewe ni wa mchangani na matopeni; Sijui ungekuwa mzungu halisi ingekuwaje.
 
Hivi wewe huoni hao wala vumbi na hao vinuka kwapa wanaoishobokea Marekani na umeniona mimi tu?

USA baby
upload_2016-8-3_13-58-0.png
upload_2016-8-3_13-58-2.png
upload_2016-8-3_13-58-3.png
.
 
Hivi wewe huoni hao wala vumbi na hao vinuka kwapa wanaoishobokea Marekani na umeniona mimi tu?

USA baby View attachment 375540 View attachment 375541 View attachment 375542.
Naona unavyojinasibu na kuweka bendera ya USA. Ningekuona wa maana sana ungeweka ya nchi yako
Hata hivyo sikatai kuishabikia USA ila nadhani kuweni kama wazungu wenyewe. Huwezi kumkuta mtu mweupe akiinua mkia juu nakutokwa na povu kisa tu kuishabikia nchi fulani.
Nyani Ngabu ni mfano tu unaowakilisha utumwa wa kifikra wa black people
 
Naona unavyojinasibu na kuweka bendera ya USA.
Hata hivyo sikatai kuishabikia USA ila nadhani kuweni kama wazungu wenyewe. Huwezi kumkuta mtu mweupe akiinua mkia juu nakutokwa na povu kisa tu kuishabikia nchi fulani.
Nyani Ngabu ni mfano tu unaowakilisha utumwa wa kifikra wa black people

Sasa kwa mfano mla vumbi wa Kinondoni huko kwa nini aishobokee Marekani?

Si heri hata mimi mbeba maboksi mambo ya Marekani yananihusu moja kwa moja.

Hao wapanda vibajaji mambo ya USA yanawahusuje?
 
Sasa kwa mfano mla vumbi wa Kinondoni huko kwa nini aishobokee Marekani?

Si heri hata mimi mbeba maboksi mambo ya Marekani yananihusu moja kwa moja.

Hao wapanda vibajaji mambo ya USA yanawahusuje?

Njoo Ameican chips Kinondoni ule zege
Njoo American supermarket Masaki ununue dagaa
 
Back
Top Bottom