A u ready?

..........Sifa hizo nyingi ninazo ila kuna chache ambazo sina na wanaume wachache sana wanaweza kuwa nazo hizo sifa zote. Nakushauri tufanye mpango "tungonoke" hadi upate ujauzito labda mtoto atakayezaliwa kama ni wa kiume anaweza kuwa na sifa zote hizo. Nahisi hiyo itasaidia kumpata Mwanaume wa aina uitakayo. (I am joking!)
 
Hahahahahah gys mmenifurahisha sana.....that means siwez pata ryt man sio?
 
Sasa hapo ugumu wke uko wapi ktk swala zima la kuyatekeleza hayo?
 
Bora unyetuke zako tu kama unaogopa kuumia huyo wa hivo hata kwa sumaku hapatikani...
 
Duuu njijemu nkubone nakaitulilo nmutagule nkakaitililo samahani nimeongea chakwetu maana lugha yakwenu imenishinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…