Mnaangaliana bwana hampeani migongo. Inainekana ni vyoo vya jela.Asa apo mnakaje kam mpo more than (2)dos gentes mnapean migongo au?
Nimewaz pale unapo ona kikatio cha jiran kinavo libangua gogo?.....All in all this gentes they're not serious
Niliiona hiyo system China ..mmmmh nikaacha kutumia choo Hadi nimerudi na mzigo wangu TZ!!Hapa lazima muwe the same gender.
Kweli mtu hupatwa na kichefuchefu...ila mie ilikuwa zaidi kinyaa nikihisi !! Nilipoteza apetaiti..!!Hoteli uliyokaa haikua na choo?
Mmh kudanganya mbele ya ummaNiliiona hiyo system China ..mmmmh nikaacha kutumia choo Hadi nimerudi na mzigo wangu TZ!!
Aisaee !! Tena huwezi vuta flash yako..wanasubiri mpigo wa pamoja kuflash..eti no waste of Water!!Mmh kudanganya mbele ya umma
Khaswa !! Kingine kwa vinyozi mnakalishwa sofa reeefu mnakatwa kea mpigo mmoja!! Na hufagiliwa mabaki ya nyewele kea mpigo!!Sasa mkiingia watatu wanasubiri mpaka viwili vilivyobaki vitumike kabla ya kuflush.
Ha ha ha...wewe sema unataka Of a yangu bhanaa..? Nikupeleke and PP twende!!!China ulifikia sehemu gani maana mimi naendaga mara kwa mara Sijawahi kukutana na ishu hii.
Mbona uliniahidi na nikakataa, mimi najiweza wew kwa kila kitu.Ha ha ha...wewe sema unataka Of a yangu bhanaa..? Nikupeleke and PP twende!!!