life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Exactly.... Wametoka mbali Hawa watu!!Maisha ya ujamaa 😂
Exactly.... Wametoka mbali Hawa watu!!Maisha ya ujamaa 😂
Ha ha ha...kweli wajiweza nafsio tu!! " Al-kamal Lillah"Mbona uliniahidi na nikakataa, mimi najiweza wew kwa kila kitu.
Sitaki kuwapa faida member endelea na mada.Ha ha ha...kweli wajiweza nafsio tu!! " Al-kamal Lillah"
Mie Bado najifunza sijatosheka.....
kama ni jela bas ni VVIP za bongoUnamaliza haraka yaliyokupeleka na kusepa.
😁😁😁😁View attachment 1065328
This is a public toilet, those who call a second toilet from master bedroom in a self contained house a public toilet, that is a family toilet rather.
Kwani mavi ya wanawake yananuka ?
Hata mkiwa same gender bado ni sheedah..Hapa lazima muwe the same gender.
Sidhani kama matumizi yake ni vikiwa hivyo. Naona kuna sehemu zina sockets za kufunga poles kwa ajili ya partitioning.Mnaangaliana bwana hampeani migongo. Inainekana ni vyoo vya jela.