A Thought for Valentine...

A Thought for Valentine...

If your spouse is 'the better half' then the 'worse half' must be you. So, try to be the better one...(MM)
Mzee Mwanakijiji, hapa umepatia sana, tumekuwa wepesi wa kulaumu mapungufu ya wenzetu, lakini tukijiangalia kwa jicho la tatu yale mapungufu ya wenzetu kwa kiasi kikubwa yanasababishwa na sisi.
Haiwezekani mtu akawa ananuna bila sababu
 
Last edited by a moderator:
600508_509966815712340_110188374_n.jpg
 
 
Last edited by a moderator:
Neno zuri, ila mara nyingi tunajiona sisi ndio better na wenzetu ni vichomi.
 
asili ya wanadamu wengi ni kutafuta wapi pa kutupia lawama!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom