wengi wanabaka na wengi wanabakwa...
pasipokuwa na hiyari tayari umebaka/bakwa.
unaweza kuwa na mkeo akakwambia leo sijiskii, ila kwa kuwa ni mumewe ukaamua tu kumuingilia..hapo tayari umebaka hata kama atainjoi.Some rapists use drugs to take away a person's ability to fight back. Rape is a crime, whether the person committing it is a stranger, a date, an acquaintance, or a family member.
Fikiria; Unagundua Mkeo/Fiancee/Girlfriend ame cheat. kwenye utetezi wake kwako anakwambia hakufanya kwa hiari yake (alibakwa!) ...Utachukua hatua gani? mfano;
...WHERE IS THE LINE? ...
- kumezea ili kuficha aibu
- ku report police ili sheria ichukue mkondo wake
- kumsamehe, kwani halikuwa kosa lake, au...
- kuachana nae, umeshindwa kumuamini
Nimeshindwa kuondoka kapa baada ya hio statment kunifurahisha.... For the above paragraph naona in apply kwa wakaka...
In other words that statement means wanawake ambao hawafikishwi katika a climax stage wanakua wamebakwa??? ,,,lol,,,
- It isnt rape if she didnt try to stop it. it is not Rape if you Enjoyed it!
Tukiangalia ubakaji kwa undani zaidi alafu tukaamua kwamba hata kama mtu alikuwepo eneo la tukio kwa ridhaa yake na kwa sababu ya kufanya tendo alafu baadae akabadili mawazo ila mwenzake akalazimisha mpaka ikatokea ni kitendo cha ubakaji kutakua na victim wengi sana.
Kwa wanandoa nadhani kutumia neno ubakaji mmoja anapokua hataki na mwingine anataka sio sahihi sana.Maana kitendo cha kua ndani ya ile ndoa tayari kinahalalisha yanayotokea mle ndani as long as hatolewi mtu manundu.Muhimu ni yule anaejisikia kufikiria hisia za mwenzake tu....ila akishindwa kufanya hivyo akakimbilia kujiridhisha yeye bila kumjali mwenzake atakua hajamtendea haki tu ila sio amembaka.
Binafsi ubakaji ambao naweza kuusimamia kidete haki itendeke ni ule ambao mhisika ALIKUA HAJITAMBUI....ALIKAMATWA KWA NGUVU....NI MINOR....ALIENDA SEHEMU BILA KUKUSUDIA KUFANYA TENDO ILA AKALAZINISHWA!!
Matukio yanayobaki hata mmbakaji anaweza kujitetea kwa maana ya kwamba kulikua na makubaliano hivyo hajatenda kosa!
...Asha D, nadhani hiyo statement ya Enjoyment is not Rape inaweza kuwa Objectional au Overruled wakati wa Cross Examination mahakamani. Ukiisoma vizuri mada, kuna mahala nimeandika, It is Not Rape until the woman claims it!!! ...PHEEEWWW!
...Asha D, nadhani hiyo statement ya Enjoyment is not Rape inaweza kuwa Objectional au Overruled wakati wa Cross Examination mahakamani. Ukiisoma vizuri mada, kuna mahala nimeandika, It is Not Rape until the woman claims it!!! ...PHEEEWWW!
...Ngojea TAMWA wakusikie. Wenzako wanapinga unyanyasaji "wewe unahalalisha!"
Anyway, kunyimana unyumba ndani ya ndoa ni mojawapo ya sababu inayokubalika mhusika mmoja wapo kudai talaka.
Nice one Lizzy, Tatizo sheria inatuambia NO means NO.
Hata kama kulikuwa na makubaliano ya awali. No wonder mpaka hivi leo
Mwanaume anapokuwa kwenye point of no return, "No!" can mean anything...!
Umeona sasa jinsi issue ilivyo complicated??? Asilimia kubwa ya wanawake they have been raped in their life time but ile ku admit ndo inakua shida, maana anae ku rape si lazima akuvamie njian... anaweza kua hata boyfriend but mmekubaliana kua mnasubiri kwanza kuhusiana na suala la sex.. then siku ukaenda kwake na akakubaka vile vile, nani ataamini ukisimulia na hali kila siku you have been seen together???
well said.
Inatisha sana mambo haya. Imagine mwanamke ana flirt na co worker/neighbour/ au hata shemeji yake to the point of No return...Pale mwanaume anajiandaa kupiga shuti, ghafla binti anafoka "Unanifanyia nini!? Unataka kunibaka? Nitakushtaki!"...hadhi, heshima na uanaume wote unakuwa tested kuanzia hapo!...
No wonder wengine hujionelea potelea mbali, wamalizie ('Rape!') kwa ushahidi kamili!
Kesi nyingi za ubakaji huwa ni ngumu sana kuzithibitisha hususan kama hakuna mashuhuda wa tukio na kama mbakwaji si mtoto. Mara nyingi huwa ni he say, she say (a la Kobe Bryant). Sasa hapo itategemea na nani watoa uamuzi wanachagua kumuamini.
Na ndiyo maana wrongful convictions zihusianaza na ubakaji zipo nyingi. Ila afadhali kidogo kwa sasa ambapo baadhi ya jurisdictions DNA evidence ni admissible.