mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,627
- 2,468
nna gf 6 hapa , unaniambia nna familia 6?.Girlfriend ni familia yako tarajiwa so kumpa huduma ndogondogo ni vzuri kunakuandaa kuja kutake over kuhudumia familia. unaanza kujua changamoto za kuwa na watu wanaokutegemea. Pia inaimarisha mapenzi yenu.