A stingy man Will make a stingy husband (Wanaume ubahili sio sifa nzuri)

Kwahio wewe mkikutana mnasex na kuhave funny tuu..shida na matatizo yake hayakuhusu. Wewe upo nae kwaajili ya raha tu umemaliza.

Hata ukiona kiatu kizuri na unajua kitampendeza huwezi mchukulia. Yeye kujiweka vizuri nywele, mavazi akiumwa ni juu yake hayakuhusu. What a selfish man. I feel sory for your girl.
Amezungumzia kufua ,kupika kufanya usafi wa ndani ..mnaona n mambo ya kizamani ... Lakini kupewa ,hela,zawadi outing ndo mapenzi ...hauoni hata nyie ni opportunistic by nature ..Yan mko kimaslahi ..ukiona hakuna Jambo unakimbia ....
 
Kwani nyie huwa hamuoni vitu vizuri huko vya kutuletea....?

By the way love sio batter trade ...its all about emotion and affection...hiyo love unayo itaka wewe hapa ungesema tu unataka sponsor basi
Anyooshe maelezo aeleweke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom